The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
kweli ulipenda pole sana...!!!jhakuna cha dawa wala nn!! niliachwa na X nilikua nampenda kufa yaan sikuona thaman ya kuish dunian bila yy... nilitembea kwa waganga wa kila mkoa nilichoma dawa za kulala zinawaka lakin wapi.... asikudanganye mtu hakuna dawa ya mapenzi