Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
itakua tatizo setting za sim yako
Asante. Hawa watu wanaudhi kwa kweli wajirekebishe.Pole mkuu
Duuuh... Upo sehem(eneo)gan mkuuMimi toka ijumaa jioni hakuna mtandao kabisa mpaka leo.
Ooooh... Kumbe ukiset 3G haizingui?!Mtandao unazingua sana upande wa 4G hadi utumie 3G kidogo inatulia ila hiyo zima washa simu kila dakika
Wakuu jamani hii network ya TTCL mbona siielewi yani kila baada ya Dk. 10 network inakata yani mpaka utoe line halafu uirudishe tena.
Juzi mpaka nikashindwa kutumia zile 10GB zao za usiku kutokana na mtandao kukatika katika.
Naomba mnijuze wakuu hii ishu ni kwangu tu au na nyie inawakumba maana nishachoshwa na hii kitu.