Gomez Luna
Senior Member
- Mar 13, 2017
- 187
- 205
Wakuu jamani hii network ya TTCL mbona siielewi yani kila baada ya Dk. 10 network inakata yani mpaka utoe line halafu uirudishe tena.
Juzi mpaka nikashindwa kutumia zile 10GB zao za usiku kutokana na mtandao kukatika katika.
Naomba mnijuze wakuu hii ishu ni kwangu tu au na nyie inawakumba maana nishachoshwa na hii kitu.