Wanajua hesabu ni tatizo wengi hawaezi na bahati mbaya hesabu kama hujui hujui tu huwezi jifunza ukubwani huwezi sema uanze kukaza kusoma mana inand hesabu usome uelewe na upige tizi za kutosha za solving ni balaa
Mdogo wangu naona kaitwa. Sijui wameitwa wangapi lkn nimemshauri aende afanye kama fainali ya kombe la dunia na aamini kuwa nafasi moja ni yake. Utawala wa mama samia huu na baraka zake