kiri12 mbona Wizara ya Afya wameita watu kwenye interview kipind hiki hiki cha maombolezo. Hao TPB wanashindwaje. Inabidi watie ili tujue mbivu na mbichi
Morning guys! Wameshaanza kutuma emails, naona nimepata yangu ya "they regret to inform me that they're unable to proceed with my application" 😒 all the best kwa mtakaofanikiwa mapambano yanaendelea💪