joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,942
- 40,171
Hivi na mm naomba mnisaidie, Mdogo wangu ana three ya14 ana DEE, hajafikisha point 4 lkn kachaguliwa bsc in accountancy CBE vipi TCU wameshusha pointi.Mpaka sasa siamini nipo safarini hebu nisaidieni