mtu unatafuta godoro kwa mfano qfl au Tanfoam, Bei ya godoro original kwa mfano ukubwa wa 5*7 12" ni zaid ya laki 5, lakini Kuna fake yapo Hadi kwa laki 2.
hivi inakuaje haya feki yanauzwa watu wanapigwa sana serikali inakua wapi? Tena walivyo wahuni wanakufanyia delivery wanakuletea Hadi nyumbani mzigo fake.