Mhadzabe
JF-Expert Member
- May 20, 2009
- 3,226
- 4,730
ivi hawa si unakuta wana genes xxy ama yyx? mara nyingi sana huku africa hawapo kwasababu ya geographical location and type of our evolution. fofr your informatin african evolution is more + compared to Asians and Europeans. for that matter extente ya gene mutilation ni ndogo huku kwetu na simply ni kwasababu tuko along the equator na hii ni hata kwenye wanyama na mimea yetu.
ukimkuta mmoja ujue huyu kaja ila wa kuzaliwa mpaka leo tuna case ya kuwa na mmoja tu ambaye nilimsikia naye alifanyiwa upasuaji huko india ili kurekebisha.
Mwalimu, I wish I Kuld c yu! Coz m ze ticha too!