Tunazo ndio ! Mfano Tanzam highway kuelekea Zambia. Ila ni za kitanzania kutokana na madereva wasio tii sheria wala kujali maisha ya watu ndio wanadhibitiwa kwa njia za alama na matuta! Hawafundishiki hata ufanyeje!Wanajamvi samahani sana mimi ni mgeni hapa ninaomba kueleweshwa tu kwamba,hivi hapa nchini kwetu kuna barabara zile wanaitwa high way?
Mimi naona matuta ya barabarani kila kona,naona vibao vya hamsini kila eneo, vivuko vya waenda kwa mguu ndo usiseme yaani hata pale serikali ilipojenga flyover ya waenda kwa miguu ndani ya mita 100 utakuta kuna zebra crossing and wakusanya mapato jirani wakisubiri madereva watukutu,huko mikoa kuna maendeo hakuna hata kibao cha hamsini ila utakuta zebra zimechorwa,wewe jifanye kutimka kisa hujaona kibao-utakuta picha ya gari yako mbelee-Sasa swali langu ni kuwa TZ tuna high way?
I understand US na nchi nyingine mwenda kwa miguu kutatiza au kutembea kwa miguu pembeni ya high way ni trafic offense, Najua malawi na umasikini wao-ile barabara wanaita M1 kuanzia Mpakani mwa Tanzania yani pale Songwe hadi Sanje kule mpakani Msumbiji huwezi kuona tuta kwenye barabara hii,si pale Mzuzu,si Lilongwe na si Blantre na minimum speed ni 60-Sitaki kuongelea Kenya-maana najua wengi mna allergy nao.
Je, sisi pia tuna high way au watu wetu wote ni wazembe,si madereva wa watembea kwa miguu na Serikali yetu pendwa imeamua rasmi TZ iwe taifa la wazembe kwa kuweka alama za 50 kila eneo,matuta every where ili watu wake wazembe sana wasiishe kwa kukongwa na magari.
Je watu wanaokatiza barabarani je? tena siku hizi ndo mtu mtu anaandika msg kwenye simu huku akiwa anavuka barabaraTunazo ndio ! Mfano Tanzam highway kuelekea Zambia. Ila ni za kitanzania kutokana na madereva wasio tii sheria wala kujali maisha ya watu ndio wanadhibitiwa kwa njia za alama na matuta! Hawafundishiki hata ufanyeje!
Tunazo ndio ! Mfano Tanzam highway kuelekea Zambia. Ila ni za kitanzania kutokana na madereva wasio tii sheria wala kujali maisha ya watu ndio wanadhibitiwa kwa njia za alama na matuta! Hawafundishiki hata ufanyeje!
That is very unfortunate, elimu kwa raia juu ya usalama barabarani pia itiliwe mkazo.Je watu wanaokatiza barabarani je? tena siku hizi ndo mtu mtu anaandika msg kwenye simu huku akiwa anavuka barabara
Ndio maana nikasema "za kitanzania " ndugu yangu ! Sasa ugoro unaanzaje tena ? Ila umenikumbusha mbali sana marehemu bibi yangu alikua mtumiaji wa uraibu huo UGORO 😁umeeleza ugoro ukitengeneza highway hata iwe barabara sita kwenda na kurudi sita ukiweka matuta tu umeitoa katika hadhi ya highway haita itwa jina hilo
Sent from my iPhone using JamiiForums
At least ndio barabara yenye muonekano wa highway ingawa kihalisia inaweza isiwe highwayHamna highway pale mkuu-yaani barabara ndani ya kilomita 1 ina matuta manne,huo uhighway inaupata wapi?