The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,068
Naomba kuuliza, hivi Tanzania ni makaburi ya kuzika watu?
Mtu akiugua anapelekwa kutibiwa ulaya, pesa wanaficha ulaya, majengo wananunua huko ulaya na marekani.
Kusoma wanasoma ulaya na marekani lakini wakifa tu wanakuja kuzikwa Tanzania.
Je Tanzania ni Makaburini, kama watu wanasoma, kutibiwa na kuishi ulaya kwa nini wakifa wanarudishwa Tanzania?
Sitaki kuamini kama naishi nimezaliwa na naishi makaburini.