Hivi Tanzania ni Makaburini?

Hivi Tanzania ni Makaburini?

Muislam huzikwa popote anapokufia ni sheria kwetu vioja upande wa pili daaah watampeleka kwao sitimbi kabisa
 
Kiongozi atakaekwenda Ulaya na kuacha kutibiwa hapa nchini atakufa. Hii ni laana kwa kuwa kuna watu wanakosa dawa hapa
 
hata masalia ya kale ya binadamu huwa yanagunduliwa Tanzania,olduvai gorge kwa.mfano

kwa hiyo inawezekana dunia ya zamani walikuwa wanaitumia Tanzania kama sehemu ya makaburi,haiwezekani mifupa ya kale ipatikane huku tu,sio ulaya,Tanzania.ilikuwa kaburi la dunia
 
We nani kakwambia Balal kafa mkuu? Yupo anakula upepo wa baridi unaochujwa,we kula makande ulale tu
balali ni member wa jf,na huwa anachangia mada mbalimbali
 
hata masalia ya kale ya binadamu huwa yanagunduliwa Tanzania,olduvai gorge kwa.mfano

kwa hiyo inawezekana dunia ya zamani walikuwa wanaitumia Tanzania kama sehemu ya makaburi,haiwezekani mifupa ya kale ipatikane huku tu,sio ulaya,Tanzania.ilikuwa kaburi la dunia
kaburi la dunia
 
Kama dunia ingekuwa mwili wa binadamu basi Tanzania ingekuwa matako au Makalio kabisa yaani ni sehemu ya kutolea uchafu sugu wa mwilini
hahaha naona umeficha neno lenyewe mkuu
 
Back
Top Bottom