boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,807
- 4,224
Xixi tunajua kupiga papuchi tu amna kitu kingine na tamaa ya madaraka
ni kwa sababu wazazi kama wewe mlifundishwa hivyo nanyi mnawafundisho hivyo hivyo:garbage in,garbage out!
atakutawala wewe kwa kuwa huwezi kujitawala wewe binafsi,na ndio waafrika wanakutawala kimawazo na hata mzungu akija inakuwa ni kazi rahisi kwake!Wazungu wa zama hizo walifanya kazi moja kubwa saana kuliko hata wa sasa ambayo hata cjui niiwekeje ila hata mtoto mdogo akimuona mzungu basi anakuwa mtu mwingine utasema kaona nini cjui,hii ni athari iliyoanzia kwa mababu na mababu na inaendelea kutafuna kizazi hadi kizazi.
Katika hali hiyo mzungu ataendelea tu kututawala.
Hahaha...tokea tulivyokuwa connected na wazungu socially na economically sisi tulibaki kuwa producers wa raw materials na users wa manufactured goods ambavyo hata havikuwa na umuhimu. Waliokuwa wanaexport raw materials from Africa ni wazungu wenyewe sio sisi.nisha kujibu swali lako,sasa inshu ya kwanini hatuku export(japo ni uongo) ni wewe wa kuifanyia kazi
Umejuaje mimi ni mzazi? Halafu Tuliwafundisha kuogopa wazungu???ni kwa sababu wazazi kama wewe mlifundishwa hivyo nanyi mnawafundisho hivyo hivyo:garbage in,garbage out!
back to topic,nakubaliana na mseveni 100% ujinga wa mababu zetu ulikuwa fursa kwa wazungu kuwatengenezea mfumo wa umimi katika nafsi zao,ni umimi huo ndo unatutesa mpaka sasa.
umepelekea tuishi kwa mgongo wa wazungu,kwa mjuavyo anayekulisha ndio anaye ku control
Idea ya uongo hii ya mungu wa uislamu/ukristo ni moja ya sababu Africa haiendelei.Wakati Mungu anaumba dunia... Alimimina madini karibu yote Africa, rutuba, hali ya hewa nzuri, moto,maziwa na wazungu walipewa Aridhi isiyo na kitu na majanga ya kimazingira tele. Waarabu wakapewa mafuta tele. Wazungu wanapewa maarifa tele, watu wa Asia wakapewa maarifa kidogo sana, waafrica wakapewa, ujinga wa kutojiamini na walichonacho. Waafrica wakatawaliwa kilahisi... Hawa watu weupe wakaja na siraha zao zilizokuwa zimebebwa na dhana ya ustaarabu. Zana hizo ni dini, na Elimu yao, hivi kwa pamoja vikaitwa ustaarabu. Mpaka Leo tunahangaika na huu upumbavu, watu wetu wanasoma ili wavae tai maofisini waendeshe gari, nakukaa mijini wakati kijijini kwao kumejaa madini tele. Utaona mikataba ilisosainiwa wakati wa ukoloni ya ulaghai mf. Mangungo wa Musovero....ndio sawa na Mikataba iliyosainiwa na viongozi wetu miaka ya karibuni ambayo inamilikisha wazungu migodi 100% na kuchimba milele.
Tutatokaje hapa?.... Inabidi tuitafute historia yetu, tumeipoteza, kwa muktadha huu tumekuwa kama housegirl kwa mwenye nyumba. Hatuwezi kutoka.
Hahaha...twende taratibu naona kama unaanza kupanic. Mbona mada yangu na maswali yanaeleweka tu?sasa zoba na mjinga wewe,swali lako lilikuwa nini?kujua kama uvumbuzi upo au kujua kama hatukua nao kabisa?
hawajuhi hayo:Hata mzungu alikuwa zoba NA mjinga kabla ya watu wa Asia kuzindua ustaarabu NA wenyewe kuufuata...
Unaudhalilisha uafrika wako NA kama waasia wangekuwa NA wazo km lako...bhasi wangekuwa maskini zaidi yetu..
STOP BEING STUPID
** TANZANIA KWANZA **
mkuu labda wewe na wa kwenuXixi tunajua kupiga papuchi tu amna kitu kingine na tamaa ya madaraka
yeye mwenye kipofu,atamwongozaje chongo?Afu huyu nae anataraji kuwa mzazi NA akili za hivi.......
Mtoto akiwa NA low self-esteem tunalalama..Donald triumph alikuwa right kabisa kwa muafrika kama huyu atawaliwe tena kwa mijeledi
triumph = Trumph.Afu huyu nae anataraji kuwa mzazi NA akili za hivi.......
Mtoto akiwa NA low self-esteem tunalalama..Donald triumph alikuwa right kabisa kwa muafrika kama huyu atawaliwe tena kwa mijeledi
South Africa vipiMkuu nchi ilioendelea africa ni Nigeria bro
tatizo lako ukisha jibiwa ulicho uliza unaruka unaenda kwengine!hoja yangu ni moja tu:tulikuwa na vya kwetu vilivyo tusaidia kulingana na sayansi yetu,teknolojia0na mazingira yetu!walicho tuzidi wenzetu sayansi yao ilikuwa juu na hivyo hata tekinolojia yao pia!kwahio tulipokutana vichache vya kwetu vikawa na tija kwao ila vingi vyao vikawa na tija kwetu!Hahaha...tokea tulivyokuwa connected na wazungu socially na economically sisi tulibaki kuwa producers wa raw materials na users wa manufactured goods ambavyo hata havikuwa na umuhimu. Waliokuwa wanaexport raw materials from Africa ni wazungu wenyewe sio sisi.
Tuliexport kwa meli zipi au usafiri gani tuliokuwa nao na kwa ubavu upi?
Sasa kama ni uongo tuwekee ukweli hapa.
kwa sababu ya ulicho kiandika hapo awaliUmejuaje mimi ni mzazi? Halafu Tuliwafundisha kuogopa wazungu???
kuna haja nikabandika bandiko ili kurefute hii nadharia kuwa we cursed and it is there in the holy books..kuna haja ya kuwafungua watu akiliIdea ya uongo hii ya mungu wa uislamu/ukristo ni moja ya sababu Africa haiendelei.
Idea ya huyu mungu imehalalisha utumwa na kupandikiza ukondoo sana miongoni mwa waafrika
ahahaha,nakujibu,nikisha kujibu unarukia hoja nyingine!usihofu majibu yako yote ninao iwe katika dini,biolojia au siasaHahaha...twende taratibu naona kama unaanza kupanic. Mbona mada yangu na maswali yanaeleweka tu?
Hahaha...wa Asia waliupeleka ustaarabu gani Europe? Nchi zote za ulaya zilizoitawala Afrika ustaarabu wake ulitoka Ugiriki na Urumi (Kwa maana ya Elimu ya darasani na ya kivita) Isipokuwa dini (iliyotoka mashariki ya kati) SIO ASIAHata mzungu alikuwa zoba NA mjinga kabla ya watu wa Asia kuzindua ustaarabu NA wenyewe kuufuata...
Unaudhalilisha uafrika wako NA kama waasia wangekuwa NA wazo km lako...bhasi wangekuwa maskini zaidi yetu..
STOP BEING STUPID
** TANZANIA KWANZA **
Wewe ndio unakuwa na ugumu wa kuelewa basic point ya mada yangu,umeshakiri kuwa walichotuzidi wenzetu ni elimu na technolojia yao kuwa juu,si ndio maana nikakuambia walikuwa wabunifu sana kuliko sisi....KWANINI WALITUZIDI KILA SEKTA? BABU ZETU WALIKUWA WAPI? okey baada ya kuondoka kwao hao wakoloni je sisi tumegundua yapi tukiwa na uhuru huu wote na ni yapi kutoka afrika(mfano bidhaa au huduma) yanayotukuzwa na kutumiwa na mataifa mengine duniani?tatizo lako ukisha jibiwa ulicho uliza unaruka unaenda kwengine!hoja yangu ni moja tu:tulikuwa na vya kwetu vilivyo tusaidia kulingana na sayansi yetu,teknolojia0na mazingira yetu!walicho tuzidi wenzetu sayansi yao ilikuwa juu na hivyo hata tekinolojia yao pia!kwahio tulipokutana vichache vya kwetu vikawa na tija kwao ila vingi vyao vikawa na tija kwetu!
kwa sababu ya ulicho kiandika hapo awali
kuna haja nikabandika bandiko ili kurefute hii nadharia kuwa we cursed and it is there in the holy books..kuna haja ya kuwafungua watu akili
ahahaha,nakujibu,nikisha kujibu unarukia hoja nyingine!usihofu majibu yako yote ninao iwe katika dini,biolojia au siasa
Sikufichi mkuu. Kama sio mapinduzi ya technology, mpaka leo tungekua watumwa direct. Hao wakina nyerere ilikua zuga tu. Obama kuwa ràis wa marekani ni mtego. Wazungu Wana akili kama mchwa. Mandela wangeamua kumuua wangemuuaObama
Martin luther king jr
Mandela
mugabe
Nyerere
Watafakar kwanza hao afu tuendelee na mada
Yaani ukitaka kujua sisi bado sana, soma hii comment yako. Wenzako walikuletea dini ili wakutawale kirahisi. Mpaka leo bado unaamini shetani alafu unajiita mtu!?Tulichogundua watu weus ni kwamba wazungu ni wafuasi wa shetan
hujui halafu hujui kuwa hujui,ustaarabu wa kwanza ulianzia katikati ya mito tigrisi na euphratiHahaha...wa Asia waliupeleka ustaarabu gani Europe? Nchi zote za ulaya zilizoitawala Afrika ustaarabu wake ulitoka Ugiriki na Urumi (Kwa maana ya Elimu ya darasani na ya kivita) Isipokuwa dini (iliyotoka mashariki ya kati) SIO ASIA
Na hata hivyo wazungu wa ulaya(wajerumani,wafaransa,waingereza,wabelgiji n.k)hawakupokea huo ustaarabu mpya kwao kijinga na kizoba.
Tafakari vizuri.
na jibu langu la msingi nishakujibu:KUKUSAIDIA ZAIDI TAFUTA KITABU NA UKISOME:Wewe ndio unakuwa na ugumu wa kuelewa basic point ya mada yangu,umeshakiri kuwa walichotuzidi wenzetu ni elimu na technolojia yao kuwa juu,si ndio maana nikakuambia walikuwa wabunifu sana kuliko sisi....KWANINI WALITUZIDI KILA SEKTA? BABU ZETU WALIKUWA WAPI? okey baada ya kuondoka kwao hao wakoloni je sisi tumegundua yapi tukiwa na uhuru huu wote na ni yapi kutoka afrika(mfano bidhaa au huduma) yanayotukuzwa na kutumiwa na mataifa mengine duniani?
Hayo ndio maswali yangu ya msingi.
NDIO MAANA UNASHABIKIA CCMMtu mweusi hugundua style za Mibinuko nyakati za kufirigisana tu!