Hivi sisi watu weusi tulikuwa wapi? Tuna laana gani?

Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,166
2,000
Habarini wadau,

Nahisi sisi watu weusi tuna laana,wala tusibishe wala kukataa. Hebu tujiulize tu, kabla ya kuja kwa wakoloni tuligundua vitu gani vikubwa vyenye manufaa kwa umma? Wengine huwa wanataja vyuo vikuu kama Alexandria na Alaher vilivyokuwepo Misri ikumbukwe ilijengwa na waarabu waishio Afrika na hata zile pyramids sio watu weusi. Hata maendeleo mengine baadhi yaliletwa na Ethiopians na sio Wabantu.

Jiulize tena hivi babu zetu walidanganywaje na kutawaliwa kama watoto? Waliletewa na kukubali dini za watu kisha wakatawaliwa kama kiboya,cha kushangaza mpaka leo hii tumekuwa watumwa wa hizo dini na zaidi tunapigana na kuuana kisa dini za watu za kuletewa.

Kimaendeleo karibu kila tunachokitumia kinatoka kwao mfano:-

-Mifumo wa Serikali

-Mifumo wa Elimu

-Materials mengi ya elimu yanatoka kwao hususani vitabu

-Mashine za mashuleni na ofisini

-Mashine za kukoboa na kusaga nafaka

-Designs nyingi na ramani za barabara tokea zamani zatoka kwao

-Reli yao

-Mpaka hizi simu zinatoka kwao au Asia

-Computers za aina zote

-Magari ya aina mbalimbali

-Designs za ujenzi wa nyumba

-Nguo za aina mbalimbali.

-Softwares za maana

Yaani kiteknolojia na kiviwanda wametuacha na hata kilimo pia,itafikia mahali hata tutashindwa kuexport raw materials na kufanya international business. Sisi tumebaki kuwalaumu tu wazungu hovyo,na bado hatupendani wenyewe kwa wenyewe.

Nchi iliyoendelea Afrika ni South Afrika iliyo na wazungu wengi pamoja na nchi za waarabu kama Morocco,Tunisia,Egypt,Libya,Algeria n.k

NI MTU MWEUSI YUPI ALIYEGUNDUA/ANAYEGUNDUA KITU KIKUBWA CHENYE MANUFAA KIMATAIFA?
 
chakuc

Member
Aug 13, 2015
69
125
Habarini Wadau,

Nahisi sisi Watu weusi tuna laana,wala tusibishe wala kukataa. Hebu tujiulize tu, kabla ya kuja kwa wakoloni tuligundua vitu gani vikubwa vyenye manufaa kwa umma? Wengine huwa wanataja vyuo vikuu kama Alexandria na Alaher vilivyokuwepo Misri ikumbukwe ilijengwa na waarabu waishio Afrika na hata zile pyramids sio watu weusi. Hata maendeleo mengine baadhi yaliletwa na Ethiopians na sio Wabantu.

Jiulize tena Hivi babu zetu walidanganywaje na kutawaliwa kama watoto? Waliletewa na kukubali dini za watu kisha wakatawaliwa kama kiboya,cha kushangaza mpaka leo hii tumekuwa watumwa wa hizo dini na zaidi tunapigana na kuuana kisa dini za watu za kuletewa.

Kimaendeleo karibu kila tunachokitumia kinatoka kwao mfano:-

-Mifumo wa Serikali

-Mifumo wa Elimu

-Materials mengi ya elimu yanatoka kwao hususan vitabu

-Mashine za mashuleni na Ofisini

-Mashine za kukoboa na kusaga nafaka

-Designs nyingi na ramani za barabara tokea zamani zatoka kwao

-Reli yao

-Mpaka hizi simu zinatoka kwao au Asia

-Computers za aina zote

-Magari ya aina mbalimbali

-Designs za ujenzi wa nyumba

-Nguo za aina mbalimbali.

-Softwares za maana

Yaani kiteknolojia na kiviwanda wametuacha na hata kilimo pia,itafikia mahali hata tutashindwa kuexport raw materials na kufanya international business. Sisi tumebaki kuwalaumu tu wazungu hovyo,na bado hatupendani wenyewe kwa wenyewe.

Nchi iliyoendelea Afrika ni South Afrika iliyo na wazungu wengi pamoja na nchi za waarabu kama Morocco,Tunisia,Egypt,Libya,Algeria n.k

NI MTU MWEUSI YUPI ALIYEGUNDUA/ANAYEGUNDUA KITU KIKUBWA CHENYE MANUFAA KIMATAIFA?

They have just documented what we already knew.

Nadhani we sio mwafrika ila utakua tu na ngozi nyeusi
 
Wilbroad Gabriel

New Member
Mar 13, 2016
2
45
Hii mada imenigusa kweli!! Hapa ndo napata swali gumu kujua je kweli wazee wetu walopigania uhuru akina Nyerere, Nkrumah, Azikiwe, Kenyatta etc walitaka kuwapa watu wa chini uhuru au walitaka wapate madaraka kuongoza nchi?? Nani baada ya kupigania uhuru aliwaachia wenzie waongoze?? Hivi kwanini hata United States of Africa aloitoa mzee Nkrumah kipindi cha 1963 wakati wanabatilisha Mohorovan group na Casablanca group kuunda institution moja ya OAU walikataa?? Huwa napata jibu la haraka kuwa walipinga wakiongozwa na mzee Nyerere ( simaanishi nampinga hapa Tz alofanya) kwa sababu hawakutaka kupoteza madaraka yao!!! Ni hilo tu kwetu wetu weusi bado sana na hata anopig hatua kidogo ukimuulza alipotoa hiyo idea ni kwenye reference za watu weupe
 
Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,166
2,000
They have just documented what we already knew.

Nadhani we sio mwafrika ila utakua tu na ngozi nyeusi
Kumbe unadhani?

I didn't write anything concerning what we knew,I hv just asked u to mention any technological innovation done by a black person for global use,let me mention an example of a Computer machine or a car innovated by whites...help pls
 
Yummie

JF-Expert Member
Sep 12, 2015
1,361
2,000
Kiufupi hatuna jipya ndio maana ma -explorer walipokuja walichukua zao almasi na kutupa (gololi). Sisi tulikua tunajifanya wajamaa tuliotukuka,tunalima kwa ajili ya chakula tu,kuzaa,na kulala.
 
chakuc

Member
Aug 13, 2015
69
125
Kumbuka gari lilokua likiitwa Nyumbu. Wakoloni wametutawala na kuhakikisha wanaua vipaji vyetu ndo naana hata ukigundua kitu hakitaendelezwa.
Hivi unafikiri kati ya MARIMBA na "AGUITER"= GITA. kipi kilianza kutumika afrika.
Je marimba bado ipo?

Tusipende kuwatukuza sana wazungu wamechangia sana sisi kutoendelea na pia hawapendi kuona tunaendelea

Kwa msaada zaidi Soma kitabu "dead aid" cha Dambisa Moyo pub 2009
 
Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,166
2,000
Hii mada imenigusa kweli!! Hapa ndo napata swali gumu kujua je kweli wazee wetu walopigania uhuru akina Nyerere, Nkrumah, Azikiwe, Kenyatta etc walitaka kuwapa watu wa chini uhuru au walitaka wapate madaraka kuongoza nchi?? Nani baada ya kupigania uhuru aliwaachia wenzie waongoze?? Hivi kwanini hata United States of Africa aloitoa mzee Nkrumah kipindi cha 1963 wakati wanabatilisha Mohorovan group na Casablanca group kuunda institution moja ya OAU walikataa?? Huwa napata jibu la haraka kuwa walipinga wakiongozwa na mzee Nyerere ( simaanishi nampinga hapa Tz alofanya) kwa sababu hawakutaka kupoteza madaraka yao!!! Ni hilo tu kwetu wetu weusi bado sana na hata anopig hatua kidogo ukimuulza alipotoa hiyo idea ni kwenye reference za watu weupe
Mkuu,hao wenzetu walitaka kuendelea kubaki madarakani na kuna namna nyingi walikuwa wananufaika kutoka kwa wazungu. Na hata hivyo walisomeshwa na hao hao wazungu nakupewa hizo nafasi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom