Ni mchezaji yupi asiye na kipaji ambae wamemsajili badala yake?Mojawapo ya wachezaji wenye vipaji nchini ni Mohamed Ibrahim MO!Inasikitisha sana kuona Simba alishindwa kuendeleza kipaji chake! Sijui Tatizo nini Naomba kujulishwa huyu kijana amesajiliwa wapi!
Ni mchezaji yupi asiye na kipaji ambae wamemsajili badala yake?
Ni mchezaji yupi asiye na kipaji ambae wamemsajili badala yake?
Ulishawahi kuwaona wakicheza ukaona hawana kipaji?Sina imani na wale wabrazil,
Mkuu mara hii ushasahau Vyura mlipomleta muuza kahawa kwenye Beach za Brazili JajaWanamuacha mchezaji mwenye kipaji wanasajili wauza Matunda wa Brazil
Ulishawahi kuwaona wakicheza ukaona hawana kipaji?
Nyie wale wakimbizi mliowaokota AMREF wanaendeleaje?Wanamuacha mchezaji mwenye kipaji wanasajili wauza Matunda wa Brazil
Kiukweli mo ana kipaji kikubwa lakin sioni kama atasogea mbele zaidi ya kurud nyuma kama ataendelea namna hii, anaujua mpira lakini hana jitihada za dhati kusogea mbele, kipaji bila juhudi ni bure..
Cr7 kuna watu kibao wa uzawa wake walikuwa wamemzidi kipaji ama wako sawa ila mwisho wa picha kwa juhudi zake yuko juu, watu wanamuweka siti moja na messi!!
Mtizame martial ni kama karidhika, ana kipaji kikubwa kweli,
Kisha mtizame rashford hatosheki hana kipaji kikubwa kama martial ila haridhiki hata kidogo kila siku anataka kusogea mbele..
Na hili tatizo lipo kwa karibia 95% ya wachezaji wetu hapa bongo.
Yeah, pale aende kuanza moja, ajitume kwa 100%, asijifanye star anayeenda kucheza na madogo, atapotea.Mo Ibrahim ni mchezaji mwenye kipaji sana tena cha asili kila mpenda mpira analitambua hilo. Hata alipofika Simba msimu wa kwanza alicheza vizuri sana na alikuwa tegemeo sana. Alikuwa ana drible vizuri anapiga mashuti vizuri. Nafikiri baada yakufanya vizuri msimu wa kwanza Simba alijisahau badala ya kupandisha kipaji chake yeye akawa anachezea mazoea kuwa mpira anaujua. Matokeo kiwango kilishuka ghafla sana akaanza kupigwa benchi hapo ndipo alipochanganyikiwa kabisa. Kila akijaribu kupandisha kiwango chake ndani ya hii misimu miwili kashindwa kabisa. Cha msingi ili asipotee mazima bora akaanze moja KMC sio mbaya akishindwa arudi tu nyumbani Manungu. Akishindwa kurudisha kiwango chake Manungu basi aache mpira akafanye shughuli nyingine. Lakini Mo Ibrahimu bado ana uwezo wa kucheza ligi kuu kwa muda mrefu tu ujao kikubwa azingatie mazoezi halafu afute kwenye mawazo yake kuwa aliwahi kucheza timu kubwa.