Hivi siasa ni uongo?

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Nadhani mtu akiangalia jinsi mambo yanavyoendeshwa hapa nchini anaweza kuumwa kichwa. Binafsi nlikua nawapa heshima kubwa sana viongozi wetu wa kisiasa, lakini kwa kilichotokea pale UDOM sinahamu na viongozi wetu. Waziri Kawambwa na mwenzake Nahodha walikuja kumaliza mgomo uliokua ukiendelea pale UDOM na kwa kauli Waziri Kawambwa alitamka kuwa field work (practical training) itkuwepo kwa wanafunzi wote ambao hawakufanya au hawakupangiwa, watu wakafurahia. punde hivi majuzi kumepokewa barua kutoka TCU kuwa hakutokua na practical training kwa wote bali ni kozi zile ambazo zilielekezwa tangu mwanzo na si vinginevyo. Sasa swali ni je, huvi hawa wanasiasa huwa wanakurpuka, hawajui haya mambo, au ni waongo? naomba mchango wenu wanjamii.
A%20S-confused1.gif
:A S-confused1::A S-confused1:
 
Hahahahhaa CCM hakuna mkweli hata mmoja, wote mawazo yao hata hayapo kwenye uongozi.
 
Siasa ni hii hapa:

A little boy goes to his dad and asks, "What is Politics?"

Dad says, "Well son, let me try to explain it this way:

#1. I'm the head of the family, so call me The President.
#2. Your mother is the administrator of the money, so we call her the
Government.
#3. We're here to take care of your needs, so we'll call you the People.
#4. The nanny, we'll consider her the Working Class.
#5. And your baby brother, we'll call him the Future.
"Now, think about that and see if it makes sense." The little boy goes
off to bed thinking about what Dad has said.

Later that night, he hears his baby brother crying, so he gets up to check
on him. He finds that the baby has severely soiled his diaper. The boy goes to his parent's room and finds his mother sound asleep. Not
wanting to wake her, he goes to the nanny's room. Finding the door locked, he looks in the peephole and finds his father in bed with the Nanny. He gives up and goes back to bed.

The next morning, the little boy says to his father, "Dad, I think I
understand the concept of politics now."
The father says, "Good, son, tell me in your own words what you think
politics is all about."

The little boy replies, "The President is screwing the Working Class while the Government is sound asleep! The People are being ignored and the Future is in deep shit."
 
Back
Top Bottom