Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,203
- 1,235
Nauliza kutokana na matukio yafuatayo ambayo hadi sasa hskuna hatua zilizochukuliwa dhidi ya waliotenda;
1. Mbowe alimgonga mtu na kumsababishia ulemavu wa kudumu huko Katoro Mkoani Geita, na alimtelekeza hadi leo anaishi maisha magumu sana kwa kushindwa kuihudumia familia yake. Je Jeshi la Polisi mlifanya nini kwa huyu mtu? Mbona hatupati mrejesho?
2.Sugu alimgonga mtoto tena kwenye "punda milia" Zebra crossing na alimgonga mtoto huyo na kumuua kabisa, na mtoto huyu alikuwa Yatima lakini aligongwa na kuuawa kabisa. Jeshi la Polisi mmechukua hatua gani? Mbona maisha yanapotezwa na viongozi wa kisiasa bila hatua stahiki kuchukuliwa?
JESHI HILI NALIOMBA LICHUKUA HATUA BILA UPENDELEO. BADO NINA IMANI NALO.