Hivi sheria ya madhara (LAW OF TORT) inaweza msaidiaje mtu kama Lwakatare kama akishinda kesi ya ??

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Kuna sheria ipi ya madhara mabayo inaweza kutumika kumsaidia mtu kama lwakatare na kesi inayomkabili kama akishinda ? na anaweza dai kama kiasi gani cha fidia kutokana na madhara hasa ya kiafya na kisaikolojia aliyoyapata?
 
Back
Top Bottom