Hivi ' Serious ' kabisa Serikali kupitia Rais JPM na Waziri Mkuu wake ' wamelibariki ' hili jambo la ' Aibu ' huko Dodoma?

Hivi Waziri Jafo alishindwa nini tu Kuomba radhi kwa Mheshimiwa Rais kwa kuchelewa Kumaliza Ujenzi wa Jengo la Wizara ili waendelee kubakia Kwanza huko walikokuwa na wakishamaliza Ujenzi ndiyo wahamie hapo eneo la Mitumba?

Yaani kabisa Wizara kama ya Jafo inakuwa katika ' Mabati ' halafu linaonekana ni jambo zuri na hapo hapo tena Waziri Mkuu nae anaenda Kuitembelea hiyo hiyo Ofisi ya ' Mabati ' tena bila hata ya chembe ya ' Aibu ' hasa kwa heshima kubwa ya Cheo chake hicho.

Kwa mtizamo wangu nahisi kwamba japo Mheshimiwa Rais alikasirika vile na kuamua kuwa Ofisi za hiyo Wizara ziwe hivyo hivyo katika ' Mabati ' hayo ila nadhani hakumaanisha hivyo na pengine angeombwa radhi pale pale huku akieleweshwa vyema juu ya huo Ujenzi basi angeelewa na kuwapa muda ila hapa tatizo naliona kwa Waziri husika wa hiyo Wizara.

Kama nyie Watu wa Serikalini hasa hiyo Wizara ya ' Mabati ' mnaona kuwa kwa kuhamia hapo na hivyo hivyo Jengo likiwa ni ' Full ' mwendo wa ' Mabati ' ni Sifa au Kuonyesha ' Utiifu ' kwa Mheshimiwa Rais badi jueni kuwa kama kuna ' Aibu ' kubwa ambayo kwa Siku za hivi karibuni Tanzania imepata ni Kitendo hicho cha ' Kipuuzi ' kabisa cha kuhamia ' Kinafiki ' na ' Kiuwoga ' hapo ' Mabatini ' Kwenu.

Kwa huu ' Upuuzi Upuuzi ' wenu ndiyo wengine tukitoka tu nje ya mipaka ya Tanzania huwa tunaukana ' Utanzania ' Wetu kwa muda na ' Kujilipua ' tu kuwa tunatoka Mataifa mengine kwani siyo Siri kama kuna nchi ambayo huko nje inaonekana ni ya ' Kimbwigira / Kishamba ' kuliko zingine zote basi ni Tanzania na sababu Kubwa ni aina hizi hizi za mambo yenu ya ' Kipuuzi ' kama haya.

Halafu na Wewe Waziri Mkuu tena Mwana Simba Sports Club mwenzangu kabisa na Mwalimu mzuri sana tu ' Kitaaluma ' hebu basi Siku zingine uwe unapima ' Matendo ' yako ya Kiserikali na kama kuna mahala ukiona hapako sawa basi usiwe ' Muoga ' kumwambia au kumshauri Bosi wako Mkuu Mheshimiwa Rais kuliko na Wewe kujitia ' Aibu ' na Suti zako kabisa na kwenda ' Kuzindua ' Wizara ya ' Mabati ' kama hiyo ya Waziri Jafo. Umeniangusha sana Mheshimiwa Waziri Mkuu na kwa ' Umefeli ' mno tu kwa hilo.

Hivi ni nani ' ameiroga ' Tanzania yetu hii na hasa katika ' Mfumo ' wetu mzima wa Akili na matumizi yake? Yaani kabisa Watu ' Wasomi ' na ' Misuti ' yenu mnakubali kwenda Kujenga ' Mabati ' na Kuweka Vibao vya Ofisi na Idara zake katika Jengo ambalo bado linaendelea na Ujenzi wake halafu mnakaribisha kabisa Wananchi kupata Huduma hapo huku ' mkijisifu ' kabisa na ' Makamera ' kedekede?

Natamani mno ' Kenneth ' akimalizana na Mtwara, Lindi na Dar es Salaam kuanzia leo Usiku hadi Jumanne ijayo basi moja kwa moja ' ahamie ' Mkoani Dodoma na aende pale pale katika Wizara ' Mabati ' kisha ' afagie ' kila Kitu pale ili hayo ' Mabati ' yao waje kuyaokota Baharini Dar es Salaam yakiwa ' yanaelea ' Majini na ikiwezekana pia ' Kenneth ' aondoke na baadhi ya Watendaji Wakuu hadi Mtoni na huko Baharini ili Siku zingine Akili zao ziwakae sawa.

Nawasilisha.
Ungeniuliza Mimi sidhani kama waziri Ana hatia yeyote maaana kama ni ujenzi kusuasua au kwenda kwa speed inategemea pia among other factors the flow of money from Hazina.
Hazitoki mfukoni kwa waziri,
Sikuona mantiki ya kuwalazimisha waingie kwenye ofisi hazijaisha kama vile hawakuwa na ofisi nzuri Dar es salaam au za muda huko Dodoma... so sidhani kama waziri alipaswa kuomba radhi kwa lolote Bali busara iwe inatumika katika kutoa matamko yasiyo na tija kwa taifa
 
Umejibu ' Kijiniasi ' kabisa Mkuu. Safi sana na nimekuelewa vizuri kabisa.
 
Hii iwe funzo kwamba ukipewa majukumu basi simamia kwa nguvu ili yakamilike kwa wakati. Raid alikuwa mkali mpaka kuagiza jeshi kuingilia kati kazi za ujenzi zinapodorora sasa kwanini kilasiku yeye ndiyo aingilie kati viongozi wengine hawawezi??

Wakati mwingine inafaa kiongozi afanye maamuzi ya kibange bange ili mambo yawe yanakamilika kwa wakati. Siyo jambo zuuri lkn ni ok ukizingatia uzembe wa watendaji walio wengi.

Kukataa kujiita mtanzania huo ni upuuzi wako mtoa mada,nyie ndowale mnaopeleka wachumba nyumba ya jirani kujidai ndiyo kwenu.
Mkuu ata kuandika Kiswahili bado unaendelea kushindwa
 
Jafo ni muoga sana mbele ya Magu haijawahi tokea akifuatiwa na plopesa Kabuudu yaani hawa hata ikitokea mkuu akawakataza kwenda Toilet mwaka mzima natumai watatekeleza kikamilifu kama yule alivyingia kwenye makalavati na kubandika majina ya ofisi
 
Kama Waziri wa Nishati alizindua nyumba ya nyasi kuwekwa umeme kuna jipya tena la kushangaa?
Ni kweli mkuu hakuna la kushangaza, ili tatizo ambalo wenye kutoa amri walishindwa kuliona ni kupungua kwa ufanisi katika hii wizara nyeti. Haiwezekani wafanyakazi kutekeleza wajibu wao ipasavyo ktk jengo ambalo hata wiring ya umeme na IT haujakamilika. Kwa maana fupi ni kuwa wafanyakazi wako likizo huku mamilioni ya watanzania wakingojea huduma zao. Ama kweli tutaona mengi zama hizi za 'hapa kazi tu'
 
Hivi Waziri Jafo alishindwa nini tu Kuomba radhi kwa Mheshimiwa Rais kwa kuchelewa Kumaliza Ujenzi wa Jengo la Wizara ili waendelee kubakia Kwanza huko walikokuwa na wakishamaliza Ujenzi ndiyo wahamie hapo eneo la Mitumba?

Yaani kabisa Wizara kama ya Jafo inakuwa katika ' Mabati ' halafu linaonekana ni jambo zuri na hapo hapo tena Waziri Mkuu nae anaenda Kuitembelea hiyo hiyo Ofisi ya ' Mabati ' tena bila hata ya chembe ya ' Aibu ' hasa kwa heshima kubwa ya Cheo chake hicho.

Kwa mtizamo wangu nahisi kwamba japo Mheshimiwa Rais alikasirika vile na kuamua kuwa Ofisi za hiyo Wizara ziwe hivyo hivyo katika ' Mabati ' hayo ila nadhani hakumaanisha hivyo na pengine angeombwa radhi pale pale huku akieleweshwa vyema juu ya huo Ujenzi basi angeelewa na kuwapa muda ila hapa tatizo naliona kwa Waziri husika wa hiyo Wizara.

Kama nyie Watu wa Serikalini hasa hiyo Wizara ya ' Mabati ' mnaona kuwa kwa kuhamia hapo na hivyo hivyo Jengo likiwa ni ' Full ' mwendo wa ' Mabati ' ni Sifa au Kuonyesha ' Utiifu ' kwa Mheshimiwa Rais badi jueni kuwa kama kuna ' Aibu ' kubwa ambayo kwa Siku za hivi karibuni Tanzania imepata ni Kitendo hicho cha ' Kipuuzi ' kabisa cha kuhamia ' Kinafiki ' na ' Kiuwoga ' hapo ' Mabatini ' Kwenu.

Kwa huu ' Upuuzi Upuuzi ' wenu ndiyo wengine tukitoka tu nje ya mipaka ya Tanzania huwa tunaukana ' Utanzania ' Wetu kwa muda na ' Kujilipua ' tu kuwa tunatoka Mataifa mengine kwani siyo Siri kama kuna nchi ambayo huko nje inaonekana ni ya ' Kimbwigira / Kishamba ' kuliko zingine zote basi ni Tanzania na sababu Kubwa ni aina hizi hizi za mambo yenu ya ' Kipuuzi ' kama haya.

Halafu na Wewe Waziri Mkuu tena Mwana Simba Sports Club mwenzangu kabisa na Mwalimu mzuri sana tu ' Kitaaluma ' hebu basi Siku zingine uwe unapima ' Matendo ' yako ya Kiserikali na kama kuna mahala ukiona hapako sawa basi usiwe ' Muoga ' kumwambia au kumshauri Bosi wako Mkuu Mheshimiwa Rais kuliko na Wewe kujitia ' Aibu ' na Suti zako kabisa na kwenda ' Kuzindua ' Wizara ya ' Mabati ' kama hiyo ya Waziri Jafo. Umeniangusha sana Mheshimiwa Waziri Mkuu na kwa ' Umefeli ' mno tu kwa hilo.

Hivi ni nani ' ameiroga ' Tanzania yetu hii na hasa katika ' Mfumo ' wetu mzima wa Akili na matumizi yake? Yaani kabisa Watu ' Wasomi ' na ' Misuti ' yenu mnakubali kwenda Kujenga ' Mabati ' na Kuweka Vibao vya Ofisi na Idara zake katika Jengo ambalo bado linaendelea na Ujenzi wake halafu mnakaribisha kabisa Wananchi kupata Huduma hapo huku ' mkijisifu ' kabisa na ' Makamera ' kedekede?

Natamani mno ' Kenneth ' akimalizana na Mtwara, Lindi na Dar es Salaam kuanzia leo Usiku hadi Jumanne ijayo basi moja kwa moja ' ahamie ' Mkoani Dodoma na aende pale pale katika Wizara ' Mabati ' kisha ' afagie ' kila Kitu pale ili hayo ' Mabati ' yao waje kuyaokota Baharini Dar es Salaam yakiwa ' yanaelea ' Majini na ikiwezekana pia ' Kenneth ' aondoke na baadhi ya Watendaji Wakuu hadi Mtoni na huko Baharini ili Siku zingine Akili zao ziwakae sawa.

Nawasilisha.
Hofu yangu tu ni kwamba hii kubali kubali tu ' Kuamrishwa ' kuna Siku litatokea ' Tamko ' la Kila Wizara Kujenga Vyoo vyake maeneo fulani halafu labda Wizara moja ikashindwa Kujenga kwa wakati hivyo ' Amri ' ikatoka kuwa Watendaji wa hiyo Wizara wawe ' wanakunya / wanaukweka ' tu hivyo hivyo hata katika Nyasi za pembeni na kweli nao wakakubali na tukawa tunaona hao Watendaji wakishindana kutafuta ' Vipori ' vya Kushushia ' Mizigo Taka ' yao. Na si ajabu hata Media nazo zikaitwa Kufanya ' Live Coverage ' wakati wao wakiwa ama ' Wanakojoa ' au ' Wanakunya ' na tukarushiwa vile vile.

MKUU GENTAMYCINE HAPO JAMAA ANAPAVE WAY UNATAFUTWA "Uwaziri Mkuu"

NDO MAANA AMEKUBALI KUFANYA KAZI NYUMBA YA MABATI.
 
Hivi Waziri Jafo alishindwa nini tu Kuomba radhi kwa Mheshimiwa Rais kwa kuchelewa Kumaliza Ujenzi wa Jengo la Wizara ili waendelee kubakia Kwanza huko walikokuwa na wakishamaliza Ujenzi ndiyo wahamie hapo eneo la Mitumba?

Yaani kabisa Wizara kama ya Jafo inakuwa katika ' Mabati ' halafu linaonekana ni jambo zuri na hapo hapo tena Waziri Mkuu nae anaenda Kuitembelea hiyo hiyo Ofisi ya ' Mabati ' tena bila hata ya chembe ya ' Aibu ' hasa kwa heshima kubwa ya Cheo chake hicho.

Kwa mtizamo wangu nahisi kwamba japo Mheshimiwa Rais alikasirika vile na kuamua kuwa Ofisi za hiyo Wizara ziwe hivyo hivyo katika ' Mabati ' hayo ila nadhani hakumaanisha hivyo na pengine angeombwa radhi pale pale huku akieleweshwa vyema juu ya huo Ujenzi basi angeelewa na kuwapa muda ila hapa tatizo naliona kwa Waziri husika wa hiyo Wizara.

Kama nyie Watu wa Serikalini hasa hiyo Wizara ya ' Mabati ' mnaona kuwa kwa kuhamia hapo na hivyo hivyo Jengo likiwa ni ' Full ' mwendo wa ' Mabati ' ni Sifa au Kuonyesha ' Utiifu ' kwa Mheshimiwa Rais badi jueni kuwa kama kuna ' Aibu ' kubwa ambayo kwa Siku za hivi karibuni Tanzania imepata ni Kitendo hicho cha ' Kipuuzi ' kabisa cha kuhamia ' Kinafiki ' na ' Kiuwoga ' hapo ' Mabatini ' Kwenu.

Kwa huu ' Upuuzi Upuuzi ' wenu ndiyo wengine tukitoka tu nje ya mipaka ya Tanzania huwa tunaukana ' Utanzania ' Wetu kwa muda na ' Kujilipua ' tu kuwa tunatoka Mataifa mengine kwani siyo Siri kama kuna nchi ambayo huko nje inaonekana ni ya ' Kimbwigira / Kishamba ' kuliko zingine zote basi ni Tanzania na sababu Kubwa ni aina hizi hizi za mambo yenu ya ' Kipuuzi ' kama haya.

Halafu na Wewe Waziri Mkuu tena Mwana Simba Sports Club mwenzangu kabisa na Mwalimu mzuri sana tu ' Kitaaluma ' hebu basi Siku zingine uwe unapima ' Matendo ' yako ya Kiserikali na kama kuna mahala ukiona hapako sawa basi usiwe ' Muoga ' kumwambia au kumshauri Bosi wako Mkuu Mheshimiwa Rais kuliko na Wewe kujitia ' Aibu ' na Suti zako kabisa na kwenda ' Kuzindua ' Wizara ya ' Mabati ' kama hiyo ya Waziri Jafo. Umeniangusha sana Mheshimiwa Waziri Mkuu na kwa ' Umefeli ' mno tu kwa hilo.

Hivi ni nani ' ameiroga ' Tanzania yetu hii na hasa katika ' Mfumo ' wetu mzima wa Akili na matumizi yake? Yaani kabisa Watu ' Wasomi ' na ' Misuti ' yenu mnakubali kwenda Kujenga ' Mabati ' na Kuweka Vibao vya Ofisi na Idara zake katika Jengo ambalo bado linaendelea na Ujenzi wake halafu mnakaribisha kabisa Wananchi kupata Huduma hapo huku ' mkijisifu ' kabisa na ' Makamera ' kedekede?

Natamani mno ' Kenneth ' akimalizana na Mtwara, Lindi na Dar es Salaam kuanzia leo Usiku hadi Jumanne ijayo basi moja kwa moja ' ahamie ' Mkoani Dodoma na aende pale pale katika Wizara ' Mabati ' kisha ' afagie ' kila Kitu pale ili hayo ' Mabati ' yao waje kuyaokota Baharini Dar es Salaam yakiwa ' yanaelea ' Majini na ikiwezekana pia ' Kenneth ' aondoke na baadhi ya Watendaji Wakuu hadi Mtoni na huko Baharini ili Siku zingine Akili zao ziwakae sawa.

Nawasilisha.
Umebwabwaja sana wakati issue yenyewe ndogo, jifunze ku short cut, hata hivyo bila picha hatujakuelwa
 
Si wangejenga tembe tujue wanalinda utamaduni wa Wagogo wakiongozwa na kipenzi chao na dhaifu mwenzao Ndugai? Labda ni kwa muda tu baadaye watakabithiwa wauza mitumba.
 
Back
Top Bottom