Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,852
Jaribu kujiuliza kila siku Gwajima ni nani? Hakuna kiongozi wa dini ana wapelelezi na mashushushu kama Gwajima unapopanga kitu yeye tayari alishatonywa mapemaSiku zake zinahesabika wazee wa kazi wanamlia timing na nzuri zaidi wamesha mseti na yeye ameisha ingia kichwa kichwa hachomoki ni swala la muda tu.