Hahaha mbona hatari mzee, nilishatoka hizo levels mzee wangu! kuna vibinti vingi tu humu acha wajizolee mimi namalizia menopause sitaweza hekaheka za vijana!Nyota inang'aa, naipalilia izidi kung'aa ili wenye misuli waweze kujimilikisha, nasema wenye misuli๐
Relax mkuuKwani kimetokea nini tena huko au BIG kashafanya yake huko na mimi nikatajwa kwamba nilikuwepo?
Ni vile tu hujamuona yani Kwa kifupi amekamilika kila idara japo ana msimamo sana hasa kwa wanaomshobokea ki ndezi ndezi, sisi tuliopo Mwanza tunamjua mtu poa sana.Huyo seran kichuguu kipo
Maana Raha ya nyumba ni..........
View attachment 3604655
Njoo chukua!
Ila wewe ๐๐Hahaha mbona hatari mzee, nilishuka hizo levels mzee wangu! kuna vibinti vingi tu humu acha wajizolee mimi namalizia menopause sitaweza hekaheka za vijana!
Usiku mwema kipenzi utanijuza yaliyo jiriHahaha mbona hatari mzee, nilishuka hizo levels mzee wangu! kuna vibinti vingi tu humu acha wajizolee mimi namalizia menopause sitaweza hekaheka za vijana!
Umeanza kuchochea kama ulikuwepo mzee!Seran upo fire
Yaani kuna watu toka wakiwq mabinti huwa hawachuji mojawapo ni weweHahaha mbona hatari mzee, nilishuka hizo levels mzee wangu! kuna vibinti vingi tu humu acha wajizolee mimi namalizia menopause sitaweza hekaheka za vijana!
Tuliaa..Ila wewe ๐๐
Hiyo avatar yako ukivuta bangi iondoe unaniabisha bhanaKaka yangu kipenzi! Imefika mahala nakosa neno๐
Umeona ujifungulie uzi kwa ID nyngineKuna members naona wanajituma kinoma ila naona ni kama wanarusha jiwe kituo cha polisi.
sasa niweke ipi kaka'one?Hiyo avatar yako ukivuta bangi iondoe unaniabisha bhana
DuhTangu nimfungulie uzi Seran naona kuna mijitu baada ya kukataliwa nayo imeanza kufungua uzi ili ipendwe ila kwa ninavyomjua Seran alivyo na msimamo sidhani kama atahadaika kirahisi tuupe muda wakati
Weka ya watawasasa niweke ipi kaka'one?
jamani hizo tena mimi sio mtawa!Weka ya watawa
Seran mganga wako kiboko...!View attachment 3604641
Kabisajamani hizo tena mimi sio mtawa!
๐ ๐ ๐ nimecheka, naikumbuka hii sijui amepotelea wapi? Ila Jf ๐Mdogo wangu, ulikuwepo enzi za Faiza foxy? Alifungua uzi akawaita wote wanaomtongoza wajitokekeze wapange mstari wamtongoze live ๐
Itabidi ufanye hivyo.
Uje nikupeleke nawewe kaka'ake ๐Mganga wa Seran, ni mganga mkweli mkuu. Kuku weusi na weupe wanaliwa kihalali. Nyota angavu. ๐