Hivi Seran mtamuweza kweli?

Mdogo wangu, ulikuwepo enzi za Faiza foxy? Alifungua uzi akawaita wote wanaomtongoza wajitokekeze wapange mstari wamtongoze live ๐Ÿ˜‚

Itabidi ufanye hivyo.
Kwa hivi vitoto vya humu hata sitaweza mamaake! Sikuwepo namsikia tu aisee! Huko kitaani bwana mmoja wanawake 7 kwanini wasihangaike huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ