britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Ni msukuma kwa kabila , taarifa zinaonyesha kwamba alijipatia utajiri kwa kukwapua utajiri wa John Cheyo baada ya kupewa kusimamia biashara zake wakati cheyo alipobanwa na sheria alipogombea Urais 1995 , alimjuaje Cheyo hiyo ni hadithi nyingineKuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Among the top wa JK family deal makers. Hao walikua ndiyo economic backbone (Chuma ulete) wa JK Family.Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Among the top wa JK family deal makers. Hao walikua ndiyo economic backbone (Chuma ulete) wa JK Family.
kakamatwa kwa uhujumu uchumi yuko kisutu leo analala nyuma ya nondoKafanyaje?
Swadakta mkuu , ila kwenye masuala ya kisheria wamejipanga ni balaa ! Angalia jinsi Lukuvi alivyoangushwa na Mohamed Kirua , kumbuka hili ni kundi lilelileAkiwemo na Jamal Malinzi, Shabani Gurumo, Davis Mosha na Saidi Lugumi.
Ni ccm mkereketwaKuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Nakumbuka hilo tukioAliwahi mpiga mtama OCD wa maswa na hakufanywa chochote, ilikuwa 2010 wakati wa uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwny hio kesi ya kina Idd Simba dhamana ilitakiwa bil 2,yeye Simba akaweka nyumba yenye thamani bil 7 akawatoa na wenzake wote ndani,yajayo yanafurahisha uko tayari?Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
anatokea kanda pendwa, ndo maana!Kuna jina uwa linatajwa kwamba anahusika kwenye UDA na anaogopwaa na jina ilo ni
Robert Kisena
Wanao mjua hebu tudadavulie
Wengine wanasema ni rafiki sana wa mtoto wa mkubwa aliyemaliza muda wake,
Kwenye kesi dhidi ya Idi simba alitajwa tajwa ila hakushughulikiwa,
Nakazia hapa,,,mko sawa kabisaa,,Akiwemo na Jamal Malinzi, Shabani Gurumo, Davis Mosha na Saidi Lugumi.
Kila ukisikia Beberu unaambiwa ni mwanachama mtiifu wa fisiEMU; hapa ndipo unabakia na ????? nyingi sana kichwani, kwani hiki chama kina recruit haya majitu??
Wafnyakazi wa mwendo kasi hawajalipwa mshahara zaidi ya miezi 6, hela zote anakwapua kweupe serikali inamuangalia( wengi wana njaa) , waziri anamuangalia (ana wake wanne, njaa tupu) , kwa hiyo ukichanganya na usukuma kesho yuko njeKisena
1. Mkwapuaji wa UDA
2. Amekwapua tenda ya maxcom kusimamia tiketi za mwendo kasi hadi amesababisha ticket ziwe zinachanywa kama daladala.
3. Mshika mikoba ya JK kama alivyo bashite kwa jiwe
4. Anajua kucheza na serikali unaweza sema serikali kaiweka mfukoni.
5. Bepari la kisukuma.
Sent using Jamii Forums mobile app