Mods mngekuwa mnatimiza wajibu wenu na kuwa fair kwa hili jamvi letu, ujinga kama huu wa mleta mada usingeruhusiwa kudumu hata kwa dakika tano. Kwa kweli mnaonesha dharau kubwa kwetu wana JF...fikiria mtu anaingia humu kwa mara ya kwanza kabisa halafu anakutana na upuuzi kama huu ulioletwa na anayejiita Makusudically; bila shaka akitudharau ni halali yake. Makusudi hapa ya Makusudically ni kuishushia hadhi JF, nothing more nothing less!Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli...Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.
Mkuu, Niambie Nani Mzalendo Kati Ya Mengi Na Muhogo?? Anadharau Na Kusema Watz Wana Hela Ya Juice Badala Ya Kutoa Mawazo Mbadara
mengi ni cdm damu damu.
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mkuu, Niambie Nani Mzalendo Kati Ya Mengi Na Muhogo?? Anadharau Na Kusema Watz Wana Hela Ya Juice Badala Ya Kutoa Mawazo Mbadara
Vipi kuhusu TBC mali ya walipa kodi wote kupendelea chama kikongwe? Jaribu kuwa fair. Kama hupendi nawe wekeza kwenye habari uwape nafasi uwapendao
kama chadema ni chama cha wachaga na mengi ni mchaga basi mpeni kaisari yaliyo ya kaisari. Ungeanza na tbc!
Anashabikia Ccm, Na Sabodo Je Utasema Anashabikia Chama Gani??
Si mlidai CDM ni chama cha wachaga?? Mengi ni mchaga, sasa sijui unalalamika nini?? Waachieni wachaga wajenge chama chao........................!!
Huu ndio Ukweli wenyewe yaani hakuna ubishi juu ya hili Mengi hana Uchungu na kero za jamii yeye anachojua ni kuyatetea masilahi yake kwa mbinu zozote Ikibidi hata kwa kukichafua chama chake CCM.Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.