Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

Hivi RC Agrey Mwanri ni mchekeshaji?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,289
Reaction score
38,942
Huyu RC Agrey Mwanri sasa amegeuka kuwa comedian wa Tabora.

Kila siku vyombo vya habari vimekuwa vikitoa clips mbalimbali ambazo anafanya vituko na ukimuangalia ni kama kwa sasa haziko level.

Mara fyekelea mbali, Sukumia ndani, jifanye unajikuna, akienda huko site ni makelele tu daah!

Any way ndiye aina ya watu anaowataka "BWANA YULE"
 
Huyu jamaa inabidi amtafute blogger awe ana updates vituko vyake maana daah...nyoosha uone, emb jifanye unajikuna, jifanye unajikuna halafu uone![/QUOTE
huyu mzee utafika wakati youtube watamlipa
 
Back
Top Bottom