CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Kutokana na kuwa na safari nyingi haieleweki kwa sasa ''Rais'' yupo nchini au la....ningependa kujua aliko nimfuate
yuko afganistan.Kutokana na kuwa na safari nyingi haieleweki kwa sasa ''Rais'' yupo nchini au la....ningependa kujua aliko nimfuate
Jamani uanzishwaji wa aina hii ya threads jamani una tija kweli ? Mtu kwa nini asilete complerte hoja tujadili?
Yuko angani kwenye ndege ya serikali, anafikiria atue nchi gani.
Ila Gulfstream si itakuwa imemaliza masaa yake ya kuruka?
Watanunua mpya kwani pesa ya kununua ipo lakini sio ya matatizo yenu nyinyi kaeni na matatizo yenu ya umeme na maji .
Ila Gulfstream si itakuwa imemaliza masaa yake ya kuruka?