Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,404
- 39,466
Habarini Watanzania
Ni mara nyingi Rais wetu wa JMT amekuwa akiomba watanzania tumwombee, Ila kwakweli hajawahi kuweka bayana kuwa tumwombee nini?
Na asipolist shida zake zinazohitaji maombi, mimi nitamwombea nini?
Mfano, kesho nikienda kanisani nitamwombea nini huyu mzee?