Hivi Rais Magufuli hana walinzi wa kike wa Kudeal na Wanawake?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,342
6,468
Hiyo mshikemshike, hakukuwa na walinzi wa kike? Halafu walinzi wa outer ring walikuwa wapi mpaka hao wa inner ring wanamwondoa huyo mama wakati hilo ni jukumu la polisi/ FFU i.e. walinzi wa outer ring of the security of the president?

Hayo ni maajabu ya Tz, kwani yule mama alikuwa ana siraha mpaka afanyiwe udhalilishaji? lakini kwa ujinga wa yule mlinzi, akaumbuliwa na Rais ili asikilizwe mama aende mahakamani kwa udhalilishaji aliofayiwa,
 
Mungu kamsaidia tatizo la walinzi wetu issue kama hiyo wanakuwa na fikra tofauti kabisa hata kama uko uchi wa mnyama.
 
Huyo mlinzi mwanaume kamzalilisha sana huyo mama yani hakutumia common sense kabisa kwa MTU asiye na silaha, aibu tupu na Raisi asingemwona loh sijui wangemfanya nini ?
Yuko kazini, hakuna sehemu yeyote dunian utafanya hvyo uachwe, tusipende sympathy za kijinga wakati mwingne... Sehemu nyingne unaweza kuwekwa ndan kabisa... unadhan rais n sawa na monitor???

Alafu aliekuambia utamtambua mtu mwenye nia mbaya kwa kumwangalia n nani? Kama amevaa bomu je utajuaje? Usalama wa rais hauhij ku bet hata kdgo... Usije dhan kuna cha kuassume, haipo popote pale dunian... hao walinzi wanalipwa kwa ajili hiyo
 
Kila kitu kutumia nguvu tu hivi walinzi wanawake hamna, hafu huyo mlinzi sijui nani ni kijana tu lakini alivokuwa anamsuka, kamzalilisha sana huyo mama
So angekuwepo mlinz mwanamke... huyu mama atokee upande wa mlinz wa kiume... wakiume akae kimya asubiri wakike aje???? nyie watu bana

Ngoja niangalie walinz wa Trump kama mwanamke yupo
 
Yuko kazini, hakuna sehemu yeyote dunian utafanya hvyo uachwe, tusipende sympathy za kijinga wakati mwingne... Sehemu nyingne unaweza kuwekwa ndan kabisa... unadhan rais n sawa na monitor???

Alafu aliekuambia utamtambua mtu mwenye nia mbaya kwa kumwangalia n nani? Kama amevaa bomu je utajuaje? Usalama wa rais hauhij ku bet hata kdgo... Usije dhan kuna cha kuassume, haipo popote pale dunian... hao walinzi wanalipwa kwa ajili hiyo
Sasa mkuu mtu afike Mpaka pale na Bomu bila usalama kugundua huoni kuwa ni tatizo kwanini asingemwacha pale pale na bango lako, na walinzi wanawake walikuwa wapi, hamna adiyejua umuhimu wa ulinzi kwa raisi ila sio kuvutana huko wangetumia mwanamke mlinzi
 
HURUHUSIWI KUMSOGELEA RAIS KWA NAMNA YEYOTE ILE LABDA AKUITE YEYE.. weka kichwan kwako hiyo

Hakuna ustaarabu kwa mtu wa aina yeyote ile atakae jaribu kumsogelea rais, Na hilo weka kichwan pia
 
Hayo ni maajabu ya Tz, kwani yule mama alikuwa ana siraha mpaka afanyiwe udhalilishaji? lakini kwa ujinga wa yule mlinzi, akaumbuliwa na Rais ili asikilizwe mama aende mahakamani kwa udhalilishaji aliofayiwa,
Ndugu yangu uwe unajiongeza kidogo, ilikuwa ni lazima aondolewe pale kwa nguvu kwaajili ya usalama. Kumbuka mtu anaweza kujifunga bomu na kulilipua kwa staili kama ya huyo mama. Tuwe makini tunavotoa comment itasaidia sana.
 
Huyo mlinzi mwanaume kamzalilisha sana huyo mama yani hakutumia common sense kabisa kwa MTU asiye na silaha, aibu tupu na Raisi asingemwona loh sijui wangemfanya nini ?
Umeshawahi kumuona aliyejifunga bomu kiunoni?? Pale ilikuwa ni usalama kwanza mengine baadaye. Hakuna lawama afisa usalama alikuwa kazini na alikuwa anatimiza majukumu yake. Imagine katumwa kuja kulipua bomu na pale palikuwa pana viongozi wakubwa wa kitaifa. Tujaribu kutumia common sense
 
Yuko kazini, hakuna sehemu yeyote dunian utafanya hvyo uachwe, tusipende sympathy za kijinga wakati mwingne... Sehemu nyingne unaweza kuwekwa ndan kabisa... unadhan rais n sawa na monitor???

Alafu aliekuambia utamtambua mtu mwenye nia mbaya kwa kumwangalia n nani? Kama amevaa bomu je utajuaje? Usalama wa rais hauhij ku bet hata kdgo... Usije dhan kuna cha kuassume, haipo popote pale dunian... hao walinzi wanalipwa kwa ajili hiyo
Upo sahihi kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom