Hivi pweza ni bei gani pale Kivukoni?

Hivi pweza ni bei gani pale Kivukoni?

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267

_70277363_11_tanzania_afp.jpg

The market is full of fishermen, auctioneers and buyers. This vendor is selling freshly cooked octopus and squid. A whole octopus sells for 8,000 Tanzanian shillings ($5; £3)

_70277359_09_tanzaniaboat_afp.jpg

A fisherman in Tanzania’s main city of Dar es Salaam watches as fishing boats comes towards land early on Friday….

_70277361_10_tanzania-fishermen_afp.jpg

Once the boats arrive, fishermen race to the shore with buckets of fish for Dar es Salaam’s Kivukoni fish market
 
For many years !! Mvuvi hajui bei ya rejareja ..Middleman (madalali) ndo wenye kutawala soko la samaki hadi kumfikia mteja
Looooh bei kubwa.
 
Mtaani wanatupiga bei kubwa sana sehemu nyingine mkia mmoja ni Tsh=3500 ngisi ndo usiseme kamba kochi kwa mbali na ule msimu wa Kaa unakaribia ebwana ndio Nyaaam Nyaaam mixer 'chachandu' [Sio shanga] vimate vileee
 
Achana na pweza aisee..dah..ni mtamu sana,nishawahi kushuhudia jamaa anamaliza pesa then akaenda kwenye kibanda kutoa nyingine..kisa utamu wa pweza!
 
Mi nikivuka pantoni lazma nishtue hata vipande vya mia 4
 
Habarini wadau,
nimejaribu kufatilia hii thread mana nafikilia kufanya hii biashara ya pweza wa vipande yaani mezani
kama ilivyo dar es salaam na sehemu nyingine.
kwasasa nipo songea sasa kuna maswali nakosa majibu naombeni msaaada wenu:
1. Bei ya pweza mmoja mwenye kilo 1 au 2 mbichi pale feri ni shingapi?

2. Nitawezaje kusafirisha mpaka songea ?
3. pweza huyo mtajwa hapo juu anaweza kuto avipande vingapi kwa makadili yadar es salaa yaani kwa vipande vile vya 200/=?
4. USHAURI JUU YA VIONJO VINGINW VYA KUFANYIA KATIKA BIASHARA HIYO.
KARIBUNI SANA.
 
kilomoja ya pweza unaweza kutoa vipande 30 mpaka 35 inategemea Na ukataji
 
Habarini wadau,
nimejaribu kufatilia hii thread mana nafikilia kufanya hii biashara ya pweza wa vipande yaani mezani
kama ilivyo dar es salaam na sehemu nyingine.
kwasasa nipo songea sasa kuna maswali nakosa majibu naombeni msaaada wenu:
1. Bei ya pweza mmoja mwenye kilo 1 au 2 mbichi pale feri ni shingapi?

2. Nitawezaje kusafirisha mpaka songea ?
3. pweza huyo mtajwa hapo juu anaweza kuto avipande vingapi kwa makadili yadar es salaa yaani kwa vipande vile vya 200/=?
4. USHAURI JUU YA VIONJO VINGINW VYA KUFANYIA KATIKA BIASHARA HIYO.
KARIBUNI SANA.
Kwa songea utafanyia wapi pale hiyo biashara? Na unahisi wateja wapo wa kununua hiyo biashara yako?
 
Back
Top Bottom