sparrow junior
Member
- Sep 29, 2011
- 16
- 2
Wanakuwa waalimu wa sekondari na wapiga debe.
Haina ishu hyo potezea,jina lake ni la mvuto kaz haina
coz tamu Kaza Usomee UDSM
Bora hata upge education mkuu,acha kudata na jina la coz..
Wanakuwa hasa wasemaj wakuu wa makampuni,ngo's nk mayb wana kaz nyngne ambazo sjui but hiyo ndo chief.but huwa naskia ajra zake ni limited sana
Haina ishu hyo potezea,jina lake ni la mvuto kaz haina
acheni kumpotosha mwenzxenu.
1. Unakuwa afisa mahusiano wa industry-sehemu unayofanyia kazi.
2. Ajira kwenye makampuni ya matangazo
3. Kufanya kazi kwenye vituo vya redio, tv na magazeti
4. Na anything related to social science, unaweza ukaaply na ukacompete
Mkuu jitahidi usomee kitu ambacho kitauzika mara tu baada ya kumaliza chuo eg education kwa sababu kuna jamaa tunawajua wanavyoteseka huku mitaani waliosoma kozi zinazofanana na hyo,ila ni ushauri tuu mkuu au soma BAPA-HSM(Health Service Management)
wewe ni he/she?thanx alot..ntasoma hii kitu coz ,niko talented na hizo field
hapa tanzania ka unataka kupata ajira fast bac jaribu kusoma medicine au education,hao wengne wanasota kitaa kama kawa.