Hivi public relation ,unaweza fanya kazi zipi!?

Sep 29, 2011
16
2
jamani mimi ni mwanafunzi,malengo yangu nije nisome shahada ya PUBLIC RELATION AND ADVERTISING bt sijajua exctly ukiachana na uhusiano je oppotunity gan nyengne unaweza ukafit.
 
Dogo nakushauri kama wewe mwenyewe huna uhakika na kitu ulichokilenga basi fikiria vinginevyo,,kama unashindwa ku predict mustakabali wa hiyo degree badili target fasta
 
Wanakuwa hasa wasemaj wakuu wa makampuni,ngo's nk mayb wana kaz nyngne ambazo sjui but hiyo ndo chief.but huwa naskia ajra zake ni limited sana
 
Bora hata upge education mkuu,acha kudata na jina la coz..
 
Haina ishu hyo potezea,jina lake ni la mvuto kaz haina

acheni kumpotosha mwenzxenu.
1. unakuwa afisa mahusiano wa Industry-sehemu unayofanyia kazi.
2. ajira kwenye makampuni ya matangazo
3. kufanya kazi kwenye vituo vya redio, tv na magazeti
4. na anything related to social science, unaweza ukaaply na ukacompete
 
acheni kumpotosha mwenzxenu.
1. Unakuwa afisa mahusiano wa industry-sehemu unayofanyia kazi.
2. Ajira kwenye makampuni ya matangazo
3. Kufanya kazi kwenye vituo vya redio, tv na magazeti
4. Na anything related to social science, unaweza ukaaply na ukacompete

thanx alot..ntasoma hii kitu coz ,niko talented na hizo field
 
Mkuu jitahidi usomee kitu ambacho kitauzika mara tu baada ya kumaliza chuo eg education kwa sababu kuna jamaa tunawajua wanavyoteseka huku mitaani waliosoma kozi zinazofanana na hyo,ila ni ushauri tuu mkuu au soma BAPA-HSM(Health Service Management)
 
hapa tanzania ka unataka kupata ajira fast bac jaribu kusoma medicine au education,hao wengne wanasota kitaa kama kawa.
 
hapa tanzania ka unataka kupata ajira fast bac jaribu kusoma medicine au education,hao wengne wanasota kitaa kama kawa.

Akijichanganya dogo itakula kwake maana ndio vitu vya kusoma hvyo kwa sasa au hata uuguzi nako ajira zao fasta
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom