MWAKATA KWETU
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 562
- 319
Kitendo cha yule mama aliyewekwa sero bila kujazwa kwenye kitabu cha rekodi,hao polisi hawajui wajibu wao?au ndio unyanyasaji unaolalamikiwa baadhi ya polisi kutumia mamlaka walio pewa vibaya?Mwigulu Nchemba shughulikia swala hili kama kuna miungu watu.