Sauti ya namna gani unayoisikia?Imenibidi niamie chumba kingine baada ya kusikia kelele chumbani ninakolala.chumba ninacholala kina taa mijusi ile myeupe upenda taa ikila wadudu wanaouluka katika taa katika utafuji wao chakula hupinda mkia upindaji huo usababisha kelele.kelele za Leo ni tofauti na nilizozizoea Leo zinakuw za mda mrefu sielewi ni mjusi au nyoka
Panzi pia hua wanatoa mlio huu.Nasikia inafanya te te te kama nguo inayochanika
hahahaa pole wana majina mengi kwetu tunawaita kensi wana shape tofauti ila huwa wadogo tu, balaa ni kelele wanayoitoa, mara nyingi hupigia kelele nje ila mara fulani huingia ndani na kuanza kuimba! wana tabia ya kuruka ruka kama chura ila ni wadogo sana..Nashukuru mungu nimekaona ha ha ha ha ha jamani kadudu kalikoninyima mi Jana usingizi ni kadogo! Cio nyoka xio mjusi nimekaua kwa hasira saa sita hii! Yan nilitaka niame tena lakini nikaona niwe jasiri nifate sauti inakolia kila mda inalia sauti sehem tofauti nikasema ivi kinini kinachofanya nisipate usingizi! Sijajua ni mdudu gani nyuma ana nundu kubwa mbele kichwa kidogo yupo ka nane Ila tu juu kichwa kidogo xijui lidui bado sijapata jina lake.
Adui yake Mwingine Ni maji Ukiona haonekani Mwaga Maji maeneo Unayosikia Kajificha au Kimiminika chochote kimpateNyuma kama ana bodi kubwa kakichwa kadogo nimempig maji tu had mengin yamenilukia sijui ntaota vipele
Kama alikua hatishii uhai wako na wewe haukua na njaa kusema unataka kumla kumuua siyo sawa.Nashukuru mungu nimekaona ha ha ha ha ha jamani kadudu kalikoninyima mi Jana usingizi ni kadogo! Cio nyoka xio mjusi nimekaua kwa hasira saa sita hii! Yan nilitaka niame tena lakini nikaona niwe jasiri nifate sauti inakolia kila mda inalia sauti sehem tofauti nikasema ivi kinini kinachofanya nisipate usingizi! Sijajua ni mdudu gani nyuma ana nundu kubwa mbele kichwa kidogo yupo ka nane Ila tu juu kichwa kidogo xijui lidui bado sijapata jina lake.
Nashukuru mungu nimekaona ha ha ha ha ha jamani kadudu kalikoninyima mi Jana usingizi ni kadogo! Cio nyoka xio mjusi nimekaua kwa hasira saa sita hii! Yan nilitaka niame tena lakini nikaona niwe jasiri nifate sauti inakolia kila mda inalia sauti sehem tofauti nikasema ivi kinini kinachofanya nisipate usingizi! Sijajua ni mdudu gani nyuma ana nundu kubwa mbele kichwa kidogo yupo ka nane Ila tu juu kichwa kidogo xijui lidui bado sijapata jina lake.