Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,118
- 1,483
Pizza magharita kitu original kutoka Sicily Italy. Nyanya tu na cheese original sio zenu hizi artificial.
Pizza magharita kitu original kutoka Sicily Italy. Nyanya tu na cheese original sio zenu hizi artificial.
hahahaaaaMh! unanitafutia ugomvi na Nyani Ngabu
Seriously Padri!? Ooh my G nahisi kufaWe figganigga, umenikumbusha wakat nasomea Upadri nchini Uholanzi (1999 - 2004).
Ebana masista wa pale Amsterdam Cathedral walikua wanatengenezea mipiza mitamu hiyo... Unaweza kufa.
Hahaaa jamaa wanajua ku act maisha balaaWale Jiran Zetu Kiimani waliweka mgomo kunywa Coca miaka ileee kisa sijajua.
Cc. Faizafoxy
Mdau hiyo elfu 25 nanunua kuku wangu swaafi wa kienyeji ndizi zangu na viungo najipikia sio kujilamba huko hadi watoto wanafaidi sasa piza small 25000 kama sio uchoyo niniumeona eeh.. Chapati kama kaukau. Mkuu wapi wanauza Elfu kumi? dar huwa wanauza kuanzia elfu 18 hadi 25 baadhi ya sehemu, kisha wanakuuzia soda buku au buku mbili. Mimi nakunywa soda, Pizza nanunua tu. Mara nyingi nina rafiki yangu anapenda hivyo nanunua ili afurahi nami nakula kipande kimoja lakini sisikii chochote. Baga ndo poa. Halafu baga unamwambia akuwekee pilipili.
Tumsifu yesu kristu fatherWe figganigga, umenikumbusha wakat nasomea Upadri nchini Uholanzi (1999 - 2004).
Ebana masista wa pale Amsterdam Cathedral walikua wanatengenezea mipiza mitamu hiyo... Unaweza kufa.
mkuu samahani, mpaka sasa wewe bado no padri?We figganigga, umenikumbusha wakat nasomea Upadri nchini Uholanzi (1999 - 2004).
Ebana masista wa pale Amsterdam Cathedral walikua wanatengenezea mipiza mitamu hiyo... Unaweza kufa.
wanaume wa dar wakijadili misosi yao!!
ww hewa huwezi kuwa padri!We figganigga, umenikumbusha wakat nasomea Upadri nchini Uholanzi (1999 - 2004).
Ebana masista wa pale Amsterdam Cathedral walikua wanatengenezea mipiza mitamu hiyo... Unaweza kufa.
Padri tumsif yesu kristo. Mi naitwa sister Eutropia.We figganigga, umenikumbusha wakat nasomea Upadri nchini Uholanzi (1999 - 2004).
Ebana masista wa pale Amsterdam Cathedral walikua wanatengenezea mipiza mitamu hiyo... Unaweza kufa.
Unasahauje maziwa ya mtindi hapo kwenye hiyo Dona + Dagaa + TembeleAisee wimbo usioujua hauimbiki, mie hivyo vyakula navisikia kwenye nyimbo za wanamuziki havinitoi mate....
Niambie Dona na dagaa ama matembele aisee hapo utaita njaa