Hivi nyie watu, nini kinawafanya Mpende Pizza? sitaki hata kusikia

Ndiyo hapo sasa usemi wa "what is bad for you is not necessary to be bad for everyone and vice versa"
 
MI pizza baga ,soseji vyote siliiiiii na Sijawah pata hamu, nilionja vyote vikanishindaa

Najua kabisa hayo sio mambo yako, nilivyosikia tu PEPSI ninakukumbuka nikataka ni ku PM tukapige PEPSI nikawaza ile offer uliyoitoa ya mwaliko wa Valentine nikajua tu tayari wajanja wameshawahi offer. Uliisifia sana PEPSI tena very specific ile yetu ya TZS 600/=.
 
Habari yenu Wakuu,

Katika vyakula vinavyoongelewa na watu wengi ila mimi sielewi, ni hiki chakula kinaitwa Pizza. Hivi piza ina nini cha ziada? Nalijaribu kula mara sita sehemu tofauti hapa Dar, nikagundua pizza sio chakula ambacho kinanifaa. Ni chakula cha hovyo kwangu wala siwezi kuwa na hamu nacho.
View attachment 470203
Hivi ni nini kinawafanya Mpende Pizza hadi mnashindwa kulala?

Naomba mnambie pizaa ina nini hasa hadi iwateke akili.

Mimi mwenzenu napenda Burger. Mabaga Mabaga ndo mwake. Nakula hadi najilamba vidole.

Halafu niwe na Pepsi bariiidiiii...acha kabisa.
View attachment 470207
View attachment 470208
Napenda Burger
Acquired taste. Upendo unakuja baada ya kujenga mazoea Kama bia. Chungu na mwanzo tunakunja uso, mwisho wa siku bila bia usingizi hauji.
 
Najua kabisa hayo sio mambo yako, nilivyosikia tu PEPSI ninakukumbuka nikataka ni ku PM tukapige PEPSI nikawaza ile offer uliyoitoa ya mwaliko wa Valentine nikajua tu tayari wajanja wameshawahi offer. Uliisifia sana PEPSI tena very specific ile yetu ya TZS 600/=.
Bila shaka nyie ni wafanyakazi wa PEPSI (SBC) na mnataka kutuaminisha na kutulazimisha kuaamini kwamba hakukuwa na uwezekano wa kucomment humu bila ya kuandika hilo jina la PEPSI
 
Bila shaka nyie ni wafanyakazi wa PEPSI (SBC) na mnataka kutuaminisha na kutulazimisha kuaamini kwamba hakukuwa na uwezekano wa kucomment humu bila ya kuandika hilo jina la PEPSI

Hapana mkuu, sifanyi kazi SBC, ila kuna uzi Dinazarde aliisifia pepsi ndio maana nimemtaja yeye kwenye post yangu, hata hivyo mwanzo wa uzi mleta mada nae kaitendea haki ameitaja mkuu. Samahani kama nimekukwaza kwa namna moja ama nyingine.
 
Mie binafsi sipendagi hiyo midude ya kidhungu.!
Hasa hiyo mivyakula inayopakwa mafuta(blue band)
Au kupaka ile midude inayofanana na makamasi au makohozi mazito.
Huwa nikiiona tu najihisi kichefuchefu..!
Mie zangu chapati,bagia,vitumbua,maandazi,viazi,mihogo,magimbi,maparage, nk.
Sio hiyo mivyakula imepakwa midawa ya mswaki.!
Tena mwingine anachukua mkate anapaka midude flani kama mkate kachambia baada ya kunya.!
Mie silagi huo uchafu wa wadhungu.!
Maparage Ndio nn
 
361b3cc48aba2b9097b9b96950205005.jpg

Peperoni...
Yummy
 
Kwa wale tulio kwenda kusoma usa, Pizza Hut, papa John's, domino's pizza, na little ceaser ndio zilikuwa restaurant zetu.

I miss USA.
 
Najua kabisa hayo sio mambo yako, nilivyosikia tu PEPSI ninakukumbuka nikataka ni ku PM tukapige PEPSI nikawaza ile offer uliyoitoa ya mwaliko wa Valentine nikajua tu tayari wajanja wameshawahi offer. Uliisifia sana PEPSI tena very specific ile yetu ya TZS 600/=.

Ahhahahahaha Kama Vipi twenzetu tukapige peps
 
Kwa wale tulio kwenda kusoma usa, Pizza Hut, papa John's, domino's pizza, na little ceaser ndio zilikuwa restaurant zetu.

I miss USA.
Na wale wa st kayumba tupeni uzoefu wenu tafadhari hata kama ulikuwa wa kuiba mahindi na mbuzi za majirani na shule mlizosoma.
 
Pizza magharita kitu original kutoka Sicily Italy. Nyanya tu na cheese original sio zenu hizi artificial.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom