Chabrosy
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 2,636
- 3,162
Mbona wamevaa madela yanayofanana?
Ina maana wameshona kwa ajili ya msiba?

aiseeMbona wamevaa madela yanayofanana?
Ina maana wameshona kwa ajili ya msiba?

aiseeWala sio hivyoo ukweli ni huu ukiona ndoa imekushinda ivunje endelea na ubachelor.
Uwe na ufree wako.
Kama hutaki kuoa siuache unamchukua binti wawatu halafu matokeo yake unamuua na umalaya wako unalala na kila msichana unaweka mimbegu.
Halafu unakuja humo ndani yanyumba kisa mkeo amejua unamuua .
Kama mnaona mmeshindwa kukituliza hicho kitu chenu mwambie mkeo naomba tuachane kuliko kumtoa mtu uhai kisa ushenzi tu
Na hii shida ni kwamba unaolewa na limbukeni na watu ambao akili hakuna
Ila wanaume mnachosha kabisa.
Si shangai jina lako ni evil spirit vya duniani sio lazima uelewe maana wewe ni spirit yule mmbayaDu leo umejitahidi kuandika vinavyoeleweka japo haitupunguzii kasi ya kuwaua
SijakuelewaPoa.
Njoo nkueleweshe.Sijakuelewa
🤣🤣🤣🤣Njoo nkueleweshe.
Kwani marehemu alikusimulia?
Kama hutaki kuoa siuache unamchukua binti wawatu halafu matokeo yake unamuua na umalaya wako unalala na kila msichana unaweka mimbegu.
Halafu unakuja humo ndani yanyumba kisa mkeo amejua unamuua .
Kama mnaona mmeshindwa kukituliza hicho kitu chenu mwambie mkeo naomba tuachane kuliko kumtoa mtu uhai kisa ushenzi tu
Na hii shida ni kwamba unaolewa na limbukeni na watu ambao akili hakuna
Ila wanaume mnachosha kabisa.
Mkinipa jina nitajua ukweli woteeKwani marehemu alikusimulia?
Tuache hivyo hivyo tu
Kama hutaki kuoa siuache unamchukua binti wawatu halafu matokeo yake unamuua na umalaya wako unalala na kila msichana unaweka mimbegu.
Halafu unakuja humo ndani yanyumba kisa mkeo amejua unamuua .
Kama mnaona mmeshindwa kukituliza hicho kitu chenu mwambie mkeo naomba tuachane kuliko kumtoa mtu uhai kisa ushenzi tu
Na hii shida ni kwamba unaolewa na limbukeni na watu ambao akili hakuna
Ila wanaume mnachosha kabisa.
Nmecheka sana aisee...anatufokeaAcha kutufokea.
Ndio hivyo ipo ila mnajitetea sana kushikwa ni ngumu.