Hivi nyie wanaume mkoje?

Hahaha, ningeiona hii thread kabla hujacoment ningemwambia achukue uzoefu kwa dada cutelove. Mamaa wa 7,800.

Anafeli sana huyu.


😂😂😂😂 eti anafeli!!

Huyo dada uliyemtaja unataka ugomvi nae?lakini mie popote utakaponiambia nije nakuja....sitaanzisha uzi na nauli juu yangu
 
😂😂😂😂 eti anafeli!!

Huyo dada uliyemtaja unataka ugomvi nae?lakini mie popote utakaponiambia nije nakuja....sitaanzisha uzi na nauli juu yangu

Siyo mgomvi huyo dada, nadhani sasa hivi yuko kwenye kamati za kampeni za uchaguzi.

Kwenye swala la kuja, naomba tulijadili nje ya hapa.
 
Halafu akifikisha miaka 30 hajaolewa, utaskia anatafuta mganga apige ramli kidgo
 
Aha kumbe unaleta uchokozi halafu unaomba msamaha
 

Ww mtoa mada huna akili, unasema huyo MTU hujawahi kumwona kwa macho, sasa utamwonaje kwa macho wakati hutaki kukutana nae?

Hayo maringo yako ndo yamefanya u-chat na wanaume wa mtandaoni ili uondoe upweke, kwasababu wanaume wa mtaani washakuchoka na maringo yako yasio na tija MysweetL
 
Naandika nafuta,naandika nafuta.....acha tu niandike,"kwa hiyo kwa akil yako wanawake hawapaswi kuwafuata wanaume kwa mara ya kwanza?risk taker ndo hufanikiwa plus i'm nt sure kama huo ndo mtongozo wa kwanza.....obhebhe jaga goke agagopoje ombehi!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…