Hivi nyie wanaume mkoje?


Ndio mtindi mpya wa kutafuta mchumba umekuja nao ee...!?
Bado hujapata mume tu..!??
 
Wenzio huwa wanafunga safari kutoka Bukoba kwenda Dar kuuchezea mpaka wanaishia kuambulia 7,800 wewe unakwama wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]

Na hujafanya poa kuja kuanzisha sredi humu. Ungemgombesha huko huko PM tu mkamalizana. Hii inaonyesha pia wewe ni mtu wa aina gani...
 
Na mara nyingi mdada ukisafirishwa kutoka mkoani ukashukia ubungo unaweza kujikuta unaishi hapo ubungo stand hata wiki 2 maana mwenyeji wako kabla hajakupokea kwanza anakupigia simu anakutazama kwa mbali, usipokidhi matarajio yake kimuonekano(hasa ukiwa flat screen) anazima simu anakupotezea na huna nauli kutoka ubungo kurudi kwenu Burigi.
 
Kwa kuwa umeshtuka basi huyo ni mtu mwema nenda tu. Angekuwa muovu ungejipeleka tu tu mwenyewe kama mbwa mbele ya chatu
 
Tatizo hakutuma nauli. I bet angetuma nauli, asingetokwa povu hili!

Mapovu ya wanaume huko juu yatatosha kufulia nguo week hii

Ungekataa kimya kimya tu kama huna ratiba ya kumfuata alipo
 
Wakati mnafuatana Pm huko mlitoa notes kwa umma? Iweje leo privacy yenu iwe ni public interest!? very pathetic,
 
Mwambie atume hela za nauli ya kuendea na kurudia na ya matumizi njiani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…