Hivi nyie polisi huko CCP Huwa mnafundishwa vitu gani?

The ice breaker

JF-Expert Member
Apr 20, 2023
543
1,163
Bonjour

Hivi nyie police huko CCP Huwa mnafundishwa vitu gani?

Aisee Kuna polisi nimemuona Leo, yupo na siraha kabisa , ila Sasa kajichanganya na raia anapiga story kabisa, Yani kajisahau tena yupo too closed na raia ,

Sasa hii sidhani kama ni sawa kwenye mambo ya usalama wake nl pamoja na siraha aliyo beba, hivi katika hao yeye anajuaje kama wote ni raia wema . Ni rahisi Sana kuporwa siraha na chochote kutokea. Kwa mazingira aliyopo kama ningekuwa naitaka hiyo siraha, ingekuwa rahisi Sana kuchukua
 
Hapo kwenye ra na la kipengere kama huyo polisi!
 
Mpige picha tuone kama ni kweli.
 
1695810886663.png
 
Mimi nawakuta 2 karibu kila siku saa 11 alfajiri wametoka lindo, na silaha, wanaomba lift, nimeshawahi kuwapa lift mara 2.
 
Back
Top Bottom