Hivi nyie ni Akina Dada kweli au...?

Kuna badhi ya majina hapa ukumbini ni vigumu kuyafahamu ni ya jinsia gani. Unaweza kudhani jina la jinsia hii kumbe sivyo, lakini pamoja na hayo ukifuatilia sana jumbes za majina ya hao uliowaweka hapo juu utaona wengi hawafichi jinsia yao na wamewahi kuandika zaidi ya mara moja kwamba wao ni wa jinsia gani. Sijui kuna faida gani ya mwanachama wa JF wa jinsia fulani kuja hapa na kujifanya ni wa jinsia nyingine ambayo haimuhusu.
 
Hapa JF watu tumekuwa tukificha Identity, sasa mimi nashangaa inakuwaje watu mpo concerned sana na jinsia za watu? maana kama hujajua jina langu kwanini ujue kama mimi she/he nadhani hiki kijiwe ni kijiwe cha hoja na sio nani katoa hoja bali hoja imakaaje? Mbona watu wanatumia Avatar za nyani hajawahi hata siku moja kuwaluliza kama ni watu au wanyama?
 
Yeah! Hapa tunajadili hoja kuliko nani anatoka wapi? Kabila gani? Bila kujali dini,jinsia n.k ndo maana hata kama we ni dume unaweza ukaweka avetar hata kama ni ya kike,no problems so let's concentrate on discussing facts rather than dealing with minor things like is he/she?
 
Makubwa bythe way ngoja niingie bafuni kuchungulia jinsia yangu nikija nitasema Wknd njema!
 
Makubwa bythe way ngoja niingie bafuni kuchungulia jinsia yangu nikija nitasema Wknd njema!

Ni Pm nije nikusaidie kuhakikisha kama hadi uende bafuni ndo ujue huenda inautata inawezekana ukawa hermaphrodite we haujui tu kama umejaliwa.
 
hili kweli linawezekana kama watu wanaficha majina yao watashindwa kuficha jinsia, kama ipo tubadilike
 
hili kweli linawezekana kama watu wanaficha majina yao watashindwa kuficha jinsia, kama ipo tubadilike

Lakini ma mdogo/ba mdogo, ni bora watu hao wakaficha majina yao na kutumia ya bandia, lakini wanapoficha na jinsia inakuwa ishu! lol!
 
JF kinachojalisha ni michango tu katika majadiliano.Kama mtu ni mwanamke, mwanaume au vyote isiwe hoja.Kwani baada ya kujua jinsia ya mtu halafu iweje?
 
JF kinachojalisha ni michango tu katika majadiliano.Kama mtu ni mwanamke, mwanaume au vyote isiwe hoja.Kwani baada ya kujua jinsia ya mtu halafu iweje?

Usibane bana! Wengine bado tupo tupo itatusaidia sana kupata wa ndani wetu..
 
Makubwa bythe way ngoja niingie bafuni kuchungulia jinsia yangu nikija nitasema Wknd njema!

Ha ha ha ha MR, umenichekesha sana! LOL! ukiziona jinsia mbili tofauti basi wewe ni Semenya...
 
kama ni kweli midume inajifanya mitoto ya kike basi jibu ni rahisi ,lazima watakuwa mashoga hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…