Ni aibu na fedheha kwa Dawasco yani wiki ya pili hii maji hamna huku Tabata Balakuda mtaa wa Saibaba hadi imefikia ndoo moja ya maji kuuzwa 700 huku ndogo ikuzwa 500 alafu wakati huo wafanyakazi wenu wanapita na vibajaji eti kusoma mita sijui mnasoma hewa? Naziagiza mamlaka zinazo husika kuchukua hatua mapema kabla mamlaka za juu hazijatoa maamuzi yatakayo waumiza period.
Aisee tabata kuna shida jamanii siku hizi...Dawasco hebu kuweni serious kidogo basii,.mbona pesa za bills mnapokea na maji hakuna???...wtf...acheni ufala bhana kama kuna shida mtoe taarifa rasmi na mapema
,ikiwezekana raia tukanunue mapipa!!!!