LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 516
Alikuwa mnafiki wa kutupwa..ndio maana ali survive
Makaburu walikuwa wana chimba madini huku anajidai hawapendi..
Nyerere alikua mzalendo wa kweli hawa wa leo hakuna kitu! He practiced what he preached....... Tatizo uongozi wake haukuandaa viongozi wa sasa km yy.....
Mfano?
Dungu wanaJF,
Nimekuwa nikiwaza jinsi haya mataifa makubwa ya ulaya na Marekani yanavyoendesha siasa zake katika dunia hii.
Mataifa haya yanatumia njia mbalimbali ili kuweza kujipatia rasimali na nguvu za kiutawala kutoka mataifa mengine kwa njia mbalimbali kama za kijasusi au za kawaida. Na ninavyojua mimi, taifa kama Marekani limekuwa na nguvu na ujuzi mzuri sana wa kufanya kazi hiyo tangia karne ya 19 hadi sasa.
Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere alikabiliana nao katika uongozi wake wote bila kuyumba na hasa ikizigantiwa kwamba kipindi chake hakukuwa na maendeleo ya mawasiliano kama sasa ambapo kwa sasa unaweza pata hata siri za Marekani kupitia WikiLeaks,na kwingineko
Swali, Je ni njia gani mwalimu alitumia, kwanza kuwaelewa hawa watu na pili kukabiliana nao kwa wakati huo wote?
Hii itasaidia vijana wetu wanojiandaa kuwa viongozi kuweza kuona mbinu hizo mapema kwani waliowengi hawana expose ya mambo kama hayo.
Naomba kuwakilisha wanaJF kwa heshima na utiifu.
Mfano wa nn? Uzalendo wake? Viongozi wa leo ambao hakuna kitu? Wat practised as he preached? Viongozi tulionao ambao hawakuandaliwa vizuri au ni mfano gano unaotaka?
Sema huna mfano acha kulalamika!
Mengine unaimba ngojera ulizoimbishwa kwenye jumuiya..ok
kama hakuna mfano..unakubali kuwa alikuwa mnafiki...double standards at most ndio maana ali- survive
Kwa hiyo unafiki ilikuwa ni mbinu ya kukabiliana na mataifa makubwa? Unaweza kuelezea zaidi? Vipi kuhusu uchoyo alipowanyima wazungu kuchimba madini yetu, haujauona?Alikuwa mnafiki wa kutupwa..ndio maana ali survive
Makaburu walikuwa wana chimba madini huku anajidai hawapendi..
Kwa hiyo unafiki ilikuwa ni mbinu ya kukabiliana na mataifa makubwa? Unaweza kuelezea zaidi? Vipi kuhusu uchoyo alipowanyima wazungu kuchimba madini yetu, haujauona?
Nyerere alikua mzalendo wa kweli hawa wa leo hakuna kitu! He practiced what he preached....... Tatizo uongozi wake haukuandaa viongozi wa sasa km yy.....
...... Baba wa Taifa, Mwl. J.K. Nyerere alikabiliana nao katika uongozi wake wote bila kuyumba na hasa ikizigantiwa kwamba kipindi chake hakukuwa na maendeleo ya mawasiliano kama sasa ambapo kwa sasa unaweza pata hata siri za Marekani kupitia WikiLeaks, na kwingineko .....