kazi kwe kumtoa ngozi tu maana usipoangalia nyama nying unaweza itupa pamoja na ngozi yake pia vitu vya ndani vyote kama maini na makorokoro mengine hakikisha unayatoa vizuri kisipasuke hata kimoja na vyote uvitupe usivipike wala nn baada ya hapo mambo yanaendelea kama unapika nyama ya sungura vile yuko vizuri sana aisee