Hivi nyama ya chui inaliwa?

--nahisi lengo lake aipate ngozi, kuhifadhi ngozi ni ushujaa hasa unapouwa mnyama pori au hata kuwamba ngoma.
 
Siku za mwisho watu watakula wengine unaona ajabu... Haaa
 
Mkuu jibu sahihi bado sijapata[emoji1] [emoji1]
Mkuu......
Ebu tazama picha ya mkata nyama, mkao wa mkata nyama, uelekeo wa mkata nyama, anapo tazama mkata nyama, alipo shika mkata nyama, kisu cha mkata nyama kilipo, nyama ilipo anzia wa kukatwa nk:
Jibu mbona rahisi sana aiseee....
 
Mkuu......
Ebu tazama picha ya mkata nyama, mkao wa mkata nyama, uelekeo wa mkata nyama, anapo tazama mkata nyama, alipo shika mkata nyama, kisu cha mkata nyama kilipo, nyama ilipo anzia wa kukatwa nk:
Jibu mbona rahisi sana aiseee....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado tena sijaambulia kitu mkuu
 
kwa usawa huu,kilicho mbele yako unakula tu
 
Huyo ni huyu. Ni aina ya paka wa porini waliotapakaa sana Tanzania ila huonekana kwa nadra sana kwenye maeneo ya makazi ya watu.
 

Attachments

  • saveral_cats_beautiful_dangerous_african_wild_cats+beautiful+dangerous+animal+picture.jpg
    9.2 KB · Views: 137
CHUI/LEOPARD ni mmoja kati ya wanyama nao waogopa sana...so huyo ni aina ya paka tu aishio porini,kwa mbali ana rangi inayofanana na chui, but si Chui tunaemjua.....


Please usile....kula wanyama tuliohalalishiwa..
 
kuna kenge walikua wananisumbua sana basi nlikua kila nkiawakamata nawapika supu aisee kenge waiosalimika wote walishahama huu mtaa
Kuna mwanajeshi mmoja alishaniadithia hadithi za kenge,unaambiwa ni mtamu balaa
 
Huyo ni chitah kiswahili ni duma sio chui
Sio Chitah wala Chui, n jamii tofaut tu ya paka, inakula wanyama wadogo wadogo, ndege na wadudu, hana uwezo hata wa kuua digi digi labda Kawe kagonjwa
 
Kuna mwanajeshi mmoja alishaniadithia hadithi za kenge,unaambiwa ni mtamu balaa
acha mtu mkuu kenge ni mtamu sana sema ndo hvyo huwez kuwambia watu maana wanaweza kukuchkulia tofauti ila ukipata bahat ya kuonja walau cku moja basi utakuwa unawasaka hatari
 
Dah...huyo paka Pori ....kuleni tu atakuwa na ladha ya kuku wenu[emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…