Hakuna lynx Africa wakuu. Lynx wanapatikana Ulaya, America na Asia. Africa tunae CARACAL amabae pia huitwa African lynx just kwa maana amefanana umbile na lynxy ila SIO lynx. Ni kweli sio cheetah huyo pichani. Huyu anaitwa SERVAL CAT. Yupo confined only in Africa. Serval cats ni omnivores kwa maana wanakula nyama as well as majani in some occasions. Anapendelea ukanda wa juu, kwa Tanzania sehemu zenye uhakika wa kumkuta ni Kilimanjaro NP na Serengeti NP. Navyofahamu CATS wote hawaliwi ila uamuzi wa mwisho ni juu ya mlaji.
Kama mhifadhi sikushauli kula na pia ni kosa kwa maana hiyo ni nyara ya serikali, sina hakika kama kibali kimetolewa.
ndio. chui ni vigumu pia kukamatika kirahisi ivyo, nguvu yake ni close sana na ya simba.Chui ni mnyama mkubwa na ana nguvu huyo ni aina ya wild cat
Hakuna lynx Africa wakuu. Lynx wanapatikana Ulaya, America na Asia. Africa tunae CARACAL amabae pia huitwa African lynx just kwa maana amefanana umbile na lynxy ila SIO lynx. Ni kweli sio cheetah huyo pichani. Huyu anaitwa SERVAL CAT. Yupo confined only in Africa. Serval cats ni omnivores kwa maana wanakula nyama as well as majani in some occasions. Anapendelea ukanda wa juu, kwa Tanzania sehemu zenye uhakika wa kumkuta ni Kilimanjaro NP na Serengeti NP. Navyofahamu CATS wote hawaliwi ila uamuzi wa mwisho ni juu ya mlaji.
Kama mhifadhi sikushauli kula na pia ni kosa kwa maana hiyo ni nyara ya serikali, sina hakika kama kibali kimetolewa.
tena kwa kuwapa onyo ngozi unaitupa karibu na chimbo lao,kuna kenge walikua wananisumbua sana basi nlikua kila nkiawakamata nawapika supu aisee kenge waiosalimika wote walishahama huu mtaa
Alishambuliwa kwa mawe na wananzegwe. Huyu aliyawai kula hata kitoto kidogo.ndio. chui ni vigumu pia kukamatika kirahisi ivyo, nguvu yake ni close sana na ya simba.
Haaaahaaaa mkuu una hatariKwa usawa huu wa magu tunakula hadi mashemeji sembuse CHUI
Nyama ni nyama! Twende Kazi!Huku kwetu leo tumemkamata huyu chui mla kuku wetu. Wananzengwe kwa machungu wameamua kumla. Je ni salama kula huyu mnyama?
Unashangaa kula noa analiwa mpaka binadamu je wewe unakula binadamuPrincipo za wapi hizo mkuu Mbona Noah anakula sio nyama tu ila kila kitu hata kitanda kikikaa vibaya., lakini bado anafanywa kitoweo tena ghali duniani??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti hata kitanda kikikaa vibaya, duuuhPrincipo za wapi hizo mkuu Mbona Noah anakula sio nyama tu ila kila kitu hata kitanda kikikaa vibaya., lakini bado anafanywa kitoweo tena ghali duniani??
Mkuu jibu sahihi bado sijapata[emoji1] [emoji1]Chagua jibu sahihi.....[emoji101]