Hivi nyama ya chui inaliwa?

Ni mtamu sana halafu mtakuwa wastaarabu kama chui na mtakuwa wasafi na msiokuwa na papara mtafanya mambo yenu kwa kutumia akili na utashi wa hali ya juu kama chui
 
Nyama hizo tamu sana ila huyu interest yake ilikuwa matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…