G M S JF-Expert Member Joined Mar 30, 2011 Posts 502 Reaction score 53 Jan 12, 2012 #1 Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?
Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,912 Reaction score 7,118 Jan 12, 2012 #2 Google .
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 Jan 13, 2012 #3 G spanner said: Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au? Click to expand... mkuu sivyo zilivyo ila ni hyo yakwako tu na acha kuhusisha tatizo la cm yako na cm zote za aina hyo tatizo linatibika mkuu labda setting au ic ya taa imekufa unabadilisha ingine maisha yanasonga mbele tembelea fundi aliyekaribu na ww
G spanner said: Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au? Click to expand... mkuu sivyo zilivyo ila ni hyo yakwako tu na acha kuhusisha tatizo la cm yako na cm zote za aina hyo tatizo linatibika mkuu labda setting au ic ya taa imekufa unabadilisha ingine maisha yanasonga mbele tembelea fundi aliyekaribu na ww