bepari la kichaga
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 528
- 516
Tuje tujifunze kwako?
Siku hizi kumekuwa na matangazo katika vyombo vya habari na hata mabango mtaani yamejaa ujumbe unaofanana.
*Ujumbe unaojulisha umma kuwa kuna dawa za kurefusha na kunenepesha uume. Au Ujumbe unaojulisha kuwa, kuna dawa inayoweza kukufanya ukae kifuani kwa mwanamke kwa muda mrefu.
Nani amewaambia uume mrefu na mnene ndo mwanamke anaufurahia? Nani amewaambia kufanya mapenzi kwa Massa mengi ndo ubora wa mapenzi?
Nakutakieni 2018 njema.
Badilikeni. Jifunzeni

OMGRaha ya mashine ikiingia uisikilzie
[HASHTAG]#dude[/HASHTAG]
Bora weweRaha ya mashine ikiingia uisikilzie
[HASHTAG]#dude[/HASHTAG]
Vumbi la Congo ndo kiboko na ukitoka hapa nyege zimeisha unaenda kuikandaNa mm naomba watumie na viagra kabisa tukitoka kukwichi tupepeee na feni![]()
Na kiharage kitakuwa kimenyofolewa KabisaaaVumbi la Congo ndo kiboko na ukitoka hapa nyege zimeisha unaenda kuikanda

inabid nifanye operation ya dole gumba niunge kingineHaaaaaa hakiwezi kutoka bhana maana siyo kwamba dushe linasimama muda woteNa kiharage kitakuwa kimenyofolewa Kabisaaainabid nifanye operation ya dole gumba niunge kingine
Siku hizi kumekuwa na matangazo katika vyombo vya habari na hata mabango mtaani yamejaa ujumbe unaofanana.
*Ujumbe unaojulisha umma kuwa kuna dawa za kurefusha na kunenepesha uume. Au Ujumbe unaojulisha kuwa, kuna dawa inayoweza kukufanya ukae kifuani kwa mwanamke kwa muda mrefu.
Nani amewaambia uume mrefu na mnene ndo mwanamke anaufurahia? Nani amewaambia kufanya mapenzi kwa Massa mengi ndo ubora wa mapenzi?
Nakutakieni 2018 njema.
Badilikeni. Jifunzeni
Na mm naomba watumie na viagra kabisa tukitoka kukwichi tupepeee na feni![]()