Hivi ninyi wanaume, mmerogwa?

Hivi ninyi wanaume, mmerogwa?

Beauty Eva

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
131
Reaction score
374
Siku hizi kumekuwa na matangazo katika vyombo vya habari na hata mabango mtaani yamejaa ujumbe unaofanana.

*Ujumbe unaojulisha umma kuwa kuna dawa za kurefusha na kunenepesha uume. Au Ujumbe unaojulisha kuwa, kuna dawa inayoweza kukufanya ukae kifuani kwa mwanamke kwa muda mrefu.

Nani amewaambia uume mrefu na mnene ndo mwanamke anaufurahia? Nani amewaambia kufanya mapenzi kwa Massa mengi ndo ubora wa mapenzi?

Nakutakieni 2018 njema.

Badilikeni. Jifunzeni
 
Dear!! tuambie basi wewe unahitaji nini kutoka kwetu maana mnatuchanganya
 
Mnasemaga mwanaume mashine, hivyo mnapewa kile roho inataka
 
Mara vibamia amtaki aya sasa mzgo ukiwa kama gogo napo pia amtaki basi mseme mnataka nini
 
Hebu Kamuulize na mwenzio Diva wa clouds, mbona nayeye kutwa anahamasisha huko Instagram
 
Mh kweli wanawake viumbe wa ajabu wanaume tunafanya kwaajili yenu mana mna tangaza sana mala ooh kibamia sasa mtatukoma
 
hahaha... sometimes wanataka kubwa ili kuwakomoa wale wanaopenda kula vya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom