Magenyi Nshekela
Member
- Mar 15, 2011
- 27
- 4
Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana bila kupata majibu yaliyojitosheleza senene wanatoka wapi? Na kwa nini wanakuja kwa ukubwa uliofanana na tumbo zao zikiwa tupu hazina chakula? Asanteni
kwa wakwe zangu bukoba wako wengi sanaaa ila me huwa sili kabisa wale wadudu.makabila mengine haya basi tu tumeolewa but wanakula vitu vya ajabu mara sijui kahawa za kutafuna jaman!!!
Mhhh hi sasa TALAKA
Inasemekana Hawa ni migratory insects ambao wanahama kufuatana na majira. Details za mzunguko wa migration need be researchedWanaJF naomba nijulishe wadudu aina ya senene hutokea wapi?Maana hapa kwetu Bukoba hutokea kwa musimu nyakati nyingine hawaonekani.Huko wanakokuwa karibu miezi 6 ni wapi wanakula nini wanazaana vipi.Sina shaka nitapata majibu mwafaka.