Heri ya mwaka mpya wakuu!
Kuna mambo hapa Tz ukiyafiria unakosa mantiki ya sheria na kanuni tunazozianzisha.
Hivi nini msingi wa kutoza ushuru wa kupark gari maeneo ya mjini? Natoa ushuru kwa nini hasa ? Mimi kutembea na gari ? Hivi gari ni kitu Cha anasa kumiliki ? Mimi kutumia gari nafaidika nini kiuchumi hadi unitoze ushuru? So mnataka tuwe na magari yanayoshinda tu home?
Ngozi nyeusi tunatatizo jinsi tunavyo fikiria ? Sijui tulicopy wapi upuuzi huu?